Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Askofu Mkuu wa Makanisa ya Bethel Calvary Church Dr. Willy Ackyoo kuelekea Maandamano yanayopangwa kutokea Siku ya Julai 7, 2026, amesema hakuna Serikali itakayoruhusu wananchi nchi nzima...
1 Reactions
1 Replies
98 Views
Kijana ukitaka kujiajili ingia kwenye kilimo cha bustani mazao kama nyanya,kabichi vitunguu nk. Hachana na kilimo cha mahindi ni umaskini mtupu lima mahindi ya chakula tu. Nyanya inayopandwa...
4 Reactions
5 Replies
233 Views
Katika maisha binadamu unatakiwa kuwa mchache wa maneno yenye kueleweka,kuelimisha na yenye busara. Ambapo anayekusikiliza hachoki kukusikiliza na anakua tayari kuna kitu amepata katika maneno...
7 Reactions
5 Replies
155 Views
Wapo watakao kuja na vyeti vingi na ufaulu wa A+ na kusema wana sifa sahihi za kupata kazi, lakini ukiwapa kazi wafanye kwa vitendo wanashindwa na kupelekea kupata hasara au kushuka kwa...
4 Reactions
27 Replies
418 Views
Habari wanajf, Nina imani kuwa kuna baadhi ya watu tulikua pamoja kufatilia simulizi alizokuwa akitoa Mr. mc_power, ila kwasasa ile burudani haipo na sijajua shida nini? Maana simulizi zake...
0 Reactions
0 Replies
64 Views
leo Marekani wametimiza miaka 250 ya uhuru na kuanzishwa kwa taifa hilo. Ikumbukwe Taifa hilo limeundwa na majimbo (State) Miaka 250 na hamna chokochoko za muungano! Kwann Tanzania Miaka 60 tu...
1 Reactions
9 Replies
140 Views
Jibu ni ndiyo, hii inaanzia katika familia unaweza kuta familia moja ya watoto 8 wote wakawa vilaza, inaenda mtaa wote ni vilaza, unaenda wilaya wote ni vilaza, unaenda mkoa wote ni vilaza...
0 Reactions
1 Replies
79 Views
Post hii imebase kwenye science na sio kwa ajili ya kudhihaki kifo.. So naomba sana mzingatie hili. As we all know everything is energy. That tukiivunja matter tu nakutana na simplest particles...
10 Reactions
174 Replies
2K Views
mungu ni mwema nilikuwa sina mchongo Nimeanza juzi ila changamoto boss anamnunulia kilo mbili tu za nyama ya kiti moto jana nimemkaangia vizuri katika kumpelekea bandani uvumilivu ukanishinda...
0 Reactions
10 Replies
141 Views
  • Redirect
Kuna habari hapa ilitoka sijajua ni nani ila alitoa tahadhari kwa viongozi wa chadema na watu wenye mapenzi na nchi wawe makini wanaweza kuvamiwa na vikundi vyenye ofisi za polisi. Ila ile mada...
0 Reactions
– Replies
– Views
Wakuu, Swali lipo juu ya meza hilo hapo. Wewe kama wewe hapo ni kitu gani kinachokusababisha unaiona simu inaita ila hautaki kuipokea? Mfano labda upo kwenye gari unapigiwa simu haupokei na...
2 Reactions
97 Replies
963 Views
Mimi kama binadamu nna hisia na kila jambo likitokea linanigusa coz litatoke la kucheka ntacheka, huzunika nimo, furahisha lazma nisimame na mnyago wangu, la kukereka hutanikosa, kununa ndita kama...
3 Reactions
20 Replies
238 Views
  • Redirect
guest-1788162615
-1 Reactions
– Replies
– Views
Ufafanuzi juu ya suala la uagizaji wa mafuta nchini kipindi cha Aprili - Juni, 2026. Tarehe 27 Juni 2026, kupitia akaunti ya Instagram ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, alichapisha...
0 Reactions
4 Replies
420 Views
Hata ukihitaji ushauri mtafute mzee mtu mzima zaidi, lakini mwanamke mtu mzima zaidi utaambulia pumba na mashudu...
2 Reactions
9 Replies
186 Views
Mwanamke Mmoja jijini Arusha amechora picha yenye jina la mtumishi wa Huduma ya Ngurumo ya Upako anayefahamika kwa jina la Nabii Mkuu Geor Davie. Mwanamke huyo alipoulizwa kwa nini amechora tatoo...
14 Reactions
174 Replies
22K Views
Njia gani mnatumia kuwafanya kuku wageni wa kienyeji wazoe haraka ata ukiwafungulia bandani waludi jioni.
3 Reactions
29 Replies
407 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…