Kiwango kipya cha mshahara baada ya kufukuzwa kazi

Kiwango kipya cha mshahara baada ya kufukuzwa kazi

Hekima ni Mwalimu

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
451
Reaction score
789
Kuna muda inakua ina changanya sana, kwa mfano ulikua na kazi yako unalipwa vizuri ghafla uka fukuzwa kazi, unaanza tena kutafuta kazi halafu ulikua umezoea kuishi maisha Fulani hivi Kwa sababu unalipwa vizuri. Unaanza harakati za kutafuta kazi, unashangaa unatajiwa pesa ndogo au mshahara mdogo kabisa.

Wazoefu wa maisha huwa mnatokaje hapo?
 
Bora hata hicho kidogo kuliko kukosa kabisa.
 
Shukuru tu unapata chochote , hayo yapo hata kwenye biashara , leo kuzuri kesho unashuka . Yalishatokea hata kwangu , just six months nikawa fresh. Nikaenda kwingine ila nikakaka mwaka nikawa fresh , ghafla hapo uongozi ukabadilisha tena nikalamba kaa la moto upya ila naisha mpaka kesho . Ukipata nafasi zitumie , nilifanya kweli nilikpokuwa nashika pesa ndefu.
 
Back
Top Bottom