Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro, ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuendelea kufanya uchunguzi wake hadi mwisho kuhusu wanafunzi walioingiziwa kimakosa fedha...
1 Reactions
10 Replies
257 Views
Msaada please, Wanaojua nisaidie wapi wanapatikana wa ku-translate document kwenye Ukrainian au Russian Language. Nataka kumsomesha mdogo wangu Ukraine. Naomba msaada wanapo translate ili...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Yale machafuko ndio maana wanatumia nguvu kubwa kufunika sana ili waonekane wema. Kuna kijana alipigwa risasi ila hakufa basi jitihada za kumkimbiza hospital zikafanikiwa na kupata huduma ya...
2 Reactions
11 Replies
192 Views
Hakika hakika, Taifa letu litachezewa sana,serekali yetu ione jinsi ya kudeal kikamilifu,na huu ujinga,ona shughuli Kariakoo zinaendelea kwa unyonge sana,watu wanajawa hofu, what's this...
8 Reactions
39 Replies
557 Views
ONYO: Humu ndani kuna upuuzi mwingi sana [emoji23], kuna lugha za kikubwa, lugha ambazo watoto haziwafai, hata wakubwa wenye ustaarabu haziwafai [emoji6] SEHEMU YA 01. Mimi naitwa Sele, napenda...
1 Reactions
20 Replies
63K Views
Anonymous
Wananchi wa Kijiji cha Nabweko, kilichopo Kisiwa cha Irugwa, Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa za huduma za msingi. Kwanza, tangu Tanzania ipate uhuru...
1 Reactions
7 Replies
617 Views
Hivi nyie wanawake akili zenu huwa mnaacha wapi? , bila kupepesa macho hapa. Mwanamke unafika umri wako wa dhahabu, let's say between 16 to 25 years old. Kipindi hiki ndio unakuwa kwenye ubora...
20 Reactions
83 Replies
966 Views
Miaka hii miwili nilikuwa maeneo ya vijijini basi katika zunguka yangu huko nilikutana na wazee kadhaa huko wakiugulia huu ugonjwa uitwao Tezi dume. Baadhi ya wazee niliongea nao Waliniambia ya...
6 Reactions
19 Replies
372 Views
SWALI:kwanini wanaume asilimia Kubwa kama sio wote akiitwa.., mwanamke Anakasilika yani Akifananishwa na Msichana anakasilika? sababu ni nini? FUNGUKA? Vp wewe mwanamke ukisikia mwanaume...
2 Reactions
25 Replies
342 Views
Since the launch of ChatGPT in 2022, AI rapidly replaced human labor across industries due to its low cost and high efficiency, driving mass adoption and layoffs. However, widespread enterprise...
2 Reactions
0 Replies
149 Views
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Leo tumewaachia police Tukutane barabaran tarehe 8/8 LONDON BOY
14 Reactions
52 Replies
992 Views
Mida si ni ile tuliopanga au mumeingiwa na uoga.maana ile siku ni leo ya kazi.
2 Reactions
6 Replies
169 Views
  • Redirect
SWALI:kwanini wanaume asilimia Kubwa kama sio wote akiitwa.., mwanamke Anakasilika yani Akifananishwa na Msichana anakasilika? sababu ni nini? FUNGUKA? Vp wewe mwanamke ukisikia mwanaume...
0 Reactions
– Replies
– Views
Sio ajabu tena kusikia taarifa kuwa viongozi fulani wa CHADEMA wamezingirwa majumbani kwao kila kunapokuwa na maandamano. Sisemi kwamba wao wanapenda kuzingirwa. Hapana. Lakini kuna jambo...
1 Reactions
0 Replies
67 Views
Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba rafiki yetu na mwanaJF mwenzetu Bishop Hiluka anaumwa sana na amelazwa Muhimbili wodi ya Mwaisela. Hali yake hairidhishi ********** TANZIA Tumepata...
32 Reactions
159 Replies
4K Views
Mr nice aliimba nyimbo inaitwa kikulacho. Ni kweli kikulacho hakitoki mbali ni wewe na watu wako wa karibu. Ukiwa mdadisi mzuri wa kuelewa nitafutie mtu mwenye mafanikio au tajiri kuwa na kila...
4 Reactions
9 Replies
231 Views
Wakuu, hali ya usalama duniani inazidi kuwa ya wasiwasi mkubwa kufuatia ripoti za hivi punde kutoka Mashariki ya Kati. Jeshi la Marekani kupitia Kamandi yake Kuu (CENTCOM) limethibitisha kufanya...
3 Reactions
15 Replies
409 Views
Naandika hivi sio kwa sababu za kiubaguzi au vinginevyo, Nimefanya kazi na wahindi ndani ya wiki moja asee Hawa watu wanapelekesha balaa Sijui watu waliofanya nao kazi miaka kadhaa watakuwa na...
29 Reactions
118 Replies
7K Views
Taarifa Kamili hii hapa TOA MAONI YAKO
4 Reactions
20 Replies
829 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…