Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma, wadau, wanafunzi, vyuo na taasisi zote zinazohudumiwa na Baraza kuwa, kwa sasa linakabiliwa na...
Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) linapenda kuufahamisha umma kuwa, tatizo la kimtandao lililosababisha kukosekana kwa huduma zetu za mtandaoni limetatuliwa...
Margaret Hamilton, mwanamke aliyeongoza timu iliyotengeneza programu za kompyuta za safari ya Apollo 11, amefariki akiwa na miaka 90.
Mwaka 1969, kompyuta ya Apollo 11 ilipata hitilafu muda mfupi...
Kuna malalamiko makubwa kutoka kwetu sisi mawakala wa huduma za miamala ya fedha. Kampuni za mitandao ya simu zimekuwa zikifanya maamuzi yanayotugusa bila kutoa maelezo ya kutosha wala...
NATAKA KUANZA BIASHARA YA UWAKALA WA FEDHA – NAOMBA USHAURI WA WENYE UZOEFU
Habari wakuu wa JamiiForums.
Nimekuja kuomba ushauri wa watu wenye uzoefu wa moja kwa moja kwenye biashara ya uwakala...
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani IPU Dkt. Tulia Ackson amempongeza Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kutokana na uongozi wake shupavu katika kusimamia na kuyapa kipaumbele masuala ya afya kwa...
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikilitafakari kuhusu tabia za watu katika jamii yetu.
Tunapozungumzia rushwa, unafiki, ubinafsi, udanganyifu na kupotea kwa uaminifu, mara nyingi tunahitimisha kwamba...
Kuna wakati ni bora ujilipue lolote litakalotokea, litokee tu. Hii nchi, ukiwa mfanyabiashara, wakati mwingine ni kama umetangaza vita na serikali. Kuna mifumo kandamizi sana kwa wafanyabiashara...
Biashara ya duka la dawa muhimu , asilimia kubwa wanaoifanya wanaifanya kinyume na sheria.
Yani hii biashara wengi wanaiendesha kinyume na matakwa yanayotakiwa hivyo wengi wanaiendesha kiujanja...
Habari za wakati huu wadau wa JF,
Huku Kivule tangu jana usiku saa 4, Tanesco wametukatia umeme mpaka saa 7. Sasa cha ajabu zaidi ni kwamba tangu muda huo wanakata umeme na kurudisha; haipiti...
Nina tatizo hapa,shemeji yangu kawapigia TANDAO FULANI kwa simu ya kwangu ambayo yamezani na kuwalaghai password na huo mtandao waka reset password na kaweka mpya kisha kaamisha fedha zote.
Mimi...
Mtoto yeyote yule wa mjini hakai kindezi , lazima awe mtu wa kuchungulia huku na huku kuangalia michongo yake .
Pia huwezi jua siku wala saa siku utakayoingia wavuni mfano kupata kesi kubwa na...
Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani elfu nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu...
Ebana iko hivi hizi gari zinazouzwa bongo na kilomita 56,000 ni unapigwa. Ukitafuta Japan au UK nyingi utapata zina 150,000, 230,000 hadi 300,000 kilomita. So hizi za bongo kama huwezi ku verify...
Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !!
Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi.
Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza.
Mtihani ukikaribia ndio...
Habari WanaJF,
Tunatambulisha NEXTGAMIS ABS --- mfumo wa kusimamia, kuendesha, kutunza kumbukumbu, na kufuatilia ukuaji wa biashara ya uwakala wa fedha kupitia mitandao ya simu na benki...
Kijana murij mkazi wa mbeya ametambulika kua aliwahi kua mwanafunzi wa shule ya iyoto mbeya, na amesoma na baadhi ya watu maarufu akiwrmo aunty lulu.
Murij alikua akiishi na mpenzi wake Binti kwa...
Ona Jinsi wanyama au ndege wa usiku (kama bundi, paka weusi, au popo) wanavyotumiwa kiimani kama "wajumbe" au "mashuhuda" wa mikataba ya kishirikina inayowekwa kwenye viwanja vya watu.
Thats why...
Nimewaza kuhusu members wenye shida jf , ni mekuja na huu uzi kwa wale members wenye kuhitaji connection ya kutoka kimaisha 🤔
Jf tumekua na changamoto mbalimbali , binafsi nimevuviwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.