NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,176
- 12,646
Huwa napata tabu sana wajomba wanapokua likizo na kuja kunitembelea mjomba wao huwa wanauliza maswali yasiyokuwa na majibu (majibu yenye ukakasi)
Sana sana maswali wanayatoa kwenye topic ya "human evolution"
Utasikia anko tumesoma history kuwa binadamu wa kwanza alikua nyani mwalimu wa history na vitabu tumesoma.
Hapo hapo unakuta wametoka mafundisho wamejifunza kuwa binadamu wa kwanza kuumbwa alikua ni Adam.
Sasa watoto wanachanganyikiwa sana huku "nyani" huku "adamu"
Kupitia jamii forum NALIA NGWENA nawasilisha ombi langu futeni hivyo visa vya wazungu ambapo hata kwa akili ya kawaida unaona kabisa ni uongo na kuwachosha tu watoto wetu.
Nawasilisha hoja.