Mishi Zawa
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,673
- 2,566
Mlioko ujombani tunaomba picha, hatakuwa jambo la kiungwana msipotuonyesha picha za ugeni ukiwa mgombani.
Kwanza yuko wapi, Machame, Masama, Kibosho, Old Moshi-Uru, Marangu, Mwika au Rombo? Picha jamani. Hii nchi ukinuna itakua kweli hauna bandama🤣🤣🤣🤣🤣.