Wakuu, nimeona leo niteme nyongo ya mwisho kabisa ili kila mtu humu ndani aelewe kiwango cha chuki na kichefuchefu nilichonacho rohoni dhidi ya huyu kiumbe.
Nataka niweke wazi mapema kuwa hata...
Timu zote ambazo zina wachezaji wengi wanaosali sana kabla ya kuingia viwanjani, kwenye mechi na baada ya mechi zimetolewa, imebaki Argentina na zile tu ambazo zina mchezaji mmoja au wawili...
hii statement ina ukweli ndani yake mtu akipata pesa kunatabia ambazo zilikuwa zimejificha ataanza kuzionyesha waziwazi
kuna tabia zako huzijui ngoja upate pesa zitajionyesha dhahiri,,
Dar balaah
Miundombinu; kila uchwao barabara zinarekebishwa, miaka yote hakujawahi kuwa shwari ni urekebishaji tu barabara kwani uongozi wa nchi unashindwa kufanya uwekezaji wa kweli wa mara Moja...
- Mfanyabiashara aliyetoroka nchi, anayesifika kutapeli mabenki atajwa kuwa nyuma ya Heche, Mpina na wengine
- Ni mmiliki wa kampuni ya Mafuta Steti Oil inayotuhumiwa kujihusisha na mambo mengi...
Jana nimesali kwenye kituo cha maombezi cha Marian Faith Healing Centre maarufu kama "kwa Fr Nkwera" pale Riverside. Ni mwaka sasa umetimia toka atwaliwe na mola wetu. Nina maswali yafuatayo:-...
WAZIRI KOMBO ASHIRIKI KONGAMANO LA KISWAHILI NA MAADHIMISHO YA PILI YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI PARIS
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit...
Wanjamvi na geniuses wa HnM sakamu!
Nimetafakari sana, nimewaza na kuwazua. nikahitimisha kuwa hakuna kisicho na dosari. Mhe. Ridhiwani Kikwete ni kiongozi bora, ni bora ndiyo, na siku hapo...
Mtu anayetungisha mimba wenye chupa maabara ana hatia mbele ya Mungu au la
Kwanza ni muhimu kufahamu nini maana ya watoto wa kwenye chupa.
Ikitokea mama anakuwa ana mayai lakini anapata shida...
Baadhi ya mikoa naona kama bado usimamizi upo chini kumekuwepo na baadhi ya Vyombo vya Habari vinavyoajiri watu wasio na sifa husika kwa kuwa tu wanajua watawalipa kiasi kidogo cha fedha.
Wale...
Wananchi tunaoishi kando ya barabara kuu kuanzia Kibaha, Mlandizi hadi Morogoro, tumekuwa tukiendelea kuishi kwa hofu kuhusu makazi yetu, kwani mradi wa upanuzi wa barabara hiyo kuwa njia nne...
Katika Vijiji vya Kibande na Bweranka vinavyopatikana Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma, Wakala wa Nishati ya Umeme Vijijini alishakula fedha za Wananchi takribani miaka 3 iliyopita.
Baadhi ya...
Kwa kweli aliyekuja na mpango wa kupanua ujenzi wa Mwendokasi sijui kama alizingatia mipango ya awali ya namna jiji lenyewe lilivyo.
Inaonekana kilichofanyika ni kujaribu kuleta plan mpya juu ya...
Habari wakuu,
Mimi ni Mkazi wa Sinza-Bamaga lakini katika mambo yamekuwa yakitukera sisi wakazi ni suala la DAWASA kuachia maji saa saba usiku au saa nane muda mwingine saa tisa, mara nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.