Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanini watu washukie na kupakia Kange wakati 98% ya watu wanakaa mjini Tanga na viunga vyake excluding Kange? Ridiculous kuwa gari liko barabara say ya 14. Analiacha anapanda basi dogo kwenda...
1 Reactions
14 Replies
226 Views
Kuhusu hoja ya Mdau aliyezungumzia Dar: Jengo la Stendi ya Mwenge linakosa umeme mara kwa mara, inasemekana lina deni ufafanuzi umetolewa kutoka upande wa TANESCO. Asante kwa kutufahamisha kuhusu...
1 Reactions
0 Replies
264 Views
Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki (IOC) na Chama cha Kamati za Olimpiki Afrika (ANOCA) zimemtambua rasmi Anthony Mtaka kuwa Rais mpya wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC), baada ya uchaguzi...
4 Reactions
32 Replies
942 Views
Mvutano wa kijenetiki kati ya uandishi wa habari huru na mamlaka za dola nchini Tanzania unaendelea kushika kasi mpya, ukionyesha mageuzi makubwa ya kimbinu. Uhusiano huu wenye migogoro sasa...
1 Reactions
5 Replies
130 Views
Mimi wananikera sana hawa wadudu na vile sipendi kujifunika net kinachofanya wasipige kelele miguuni ni nini? kadudu kenyewe kadogo lakini sauti kama kamemeza spika za chama
15 Reactions
77 Replies
840 Views
Tukome kupima upendo kwa idadi ya mambo tunayofanya kwa watu na tupime upendo kwa idadi ya watu wanaotuheshimu tunaposema "hapana". Ukikosa msimamo, utatumika mpaka uchoke ila ukiujenga msimamo...
8 Reactions
17 Replies
279 Views
Moja ya ishara kubwa ya kurasa za utapeli mtandaoni ambayo watu wengi hawaistukii ni tabia ya kubadilisha majina ya akaunti zao mara kwa mara. Matapeli wakishawadhulumu watu na jina lao kuanza...
2 Reactions
3 Replies
191 Views
Kama ulikua hujui kuwa TRUMP HADHANI KAMA ATAFANIKIWA KUINGIA PEPONI wacha nikufahamishe;- Rais wa MAREKANI muheshimiwa DONALD TRUMP, Amesema hana uhakika kama akifa ataenda peponi, TRUMP...
2 Reactions
8 Replies
179 Views
Salaam Wana JF, Naomba nitoe hoja ambayo naamini wengi wetu tumekuwa tukiikumbana nayo kila siku, lakini pengine hatujapata nafasi ya kuizungumza kwa uzito unaostahili. Kero ya SMS za matangazo...
5 Reactions
13 Replies
405 Views
Uwezi kuniambia leo unataka kutajirika kwa kuuza CD na DVD miaka hii. Miaka ya nyuma kampuni ya maji Kilimanjaro ndio ilikuwa kampuni ambayo kila shuguli,mikutano,harusi lazima yawepo. Baada ya...
6 Reactions
8 Replies
207 Views
Meli kubwa ya makontena duniani inayotumia gesi ya LNG, CMA CGM NOTRE DAME, imeandika historia baada ya kufanyiwa kwa mara ya kwanza ujazaji wa mafuta ya Bio-LNG katika Bandari ya Rotterdam...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Malalamiko ya ucheleweshaji wa kutoa vibali vya uhamisho kwa watumishi wa Taasisi za Umma ( Mfano: Elimu) walioomba kuhamia vituo vingine vya kazi kwasababu mbalimbali yameendelea kuwa mengi siku...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
  • Featured
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limeidhinisha kutolewa mara moja kwa takriban dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania baada ya kukamilisha tathmini za mwisho chini ya programu za Extended...
1 Reactions
17 Replies
754 Views
🏡 JENGA KWA TOFALI ZA INTERLOCKING – IMARA, ZA KISASA NA ZENYE GHARAMA NAFUU! 🏡 Tunauza na kujenga kwa kutumia Tofali za Interlocking zenye ubora wa hali ya juu. 💰 Bei zetu . 📍Dar es Salaam –...
1 Reactions
1 Replies
106 Views
  • Redirect
Tiketi moja ya final ni 80m+ je kuna wabongo wataingia uwanjani?
0 Reactions
– Replies
– Views
Wakuu salama? Viongozi wamekua wakitoa kauli au majibu ambayo yamekua yakinichanganya sana mfano. Mh waziri wa mambo ya ndani anasema serikali ikitaka kumkata mtu inatoa arrest warrant...
3 Reactions
7 Replies
173 Views
Hapa sizungumzii wachaga wa Machame, Masama, Hai hadi Siha ambao wengi ni waislam Nazungumzia wachaga waislam kutoka Rombo, Marangu, Kibosho na Old Moshi, na Uru na maeneo mengine ya nchi ya...
4 Reactions
4 Replies
162 Views
Back
Top Bottom