Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu salama? Viongozi wamekua wakitoa kauli au majibu ambayo yamekua yakinichanganya sana mfano. Mh waziri wa mambo ya ndani anasema serikali ikitaka kumkata mtu inatoa arrest warrant...
3 Reactions
7 Replies
173 Views
Hapa sizungumzii wachaga wa Machame, Masama, Hai hadi Siha ambao wengi ni waislam Nazungumzia wachaga waislam kutoka Rombo, Marangu, Kibosho na Old Moshi, na Uru na maeneo mengine ya nchi ya...
4 Reactions
4 Replies
162 Views
Bakwata yawasimamisha masheikh watatu, yupo Walid Kawambwa
2 Reactions
12 Replies
292 Views
Mkoa wa Geita unakadiriwa kuwa na watu elfu 95 wanaoishi na Virusi vya Ukimwi (VVU), huku wananchi wakihimizwa kupima afya zao mara kwa mara ili kufahamu hali zao. Wito huo umetolewa na Katibu...
8 Reactions
27 Replies
532 Views
Mwaka 2013 nilinunuaga kiwanja sehemu panaitwa dege dar. Palikuwa ni pori haswaa yaani hapaeleweki mpaka nikamuuliza aliyeniunganisha sasa nanunuaje shamba na unasema kiwanja😹Nakumbuka nilikuwa...
20 Reactions
57 Replies
1K Views
Tafadhari hi ni mada ya somo la theolojia sio ya la kiimani. Wanafunzi Wenyewe Walijitenga na Paulo Katika Matendo 21, Paulo anaporudi Yerusalemu, wanafunzi wanamwambia: “Ndugu, waona jinsi...
2 Reactions
21 Replies
442 Views
"""""Hakuna aliyepata kwenda mbinguni,,, isipokuwa mwana wa mtu ambaye ameshuka kutoka mbinguni"""" YOHANA 3:13 BHN. Hii ni kauli ya YESU, wakati akiwa duniani. Ila kwenye kitabu cha mwanzo...
8 Reactions
70 Replies
885 Views
Katika Moja ya kazi zangu za muda mrefu ni kutengeneza maudhui ya YouTube. Miaka ya hivi karibuni nilianza kuvutiwa na mihadhara ya kiislamu, Kwa hivyo nikaanza kufanya YouTube content za...
1 Reactions
10 Replies
310 Views
Wanasema duniani hakuna kitu cha bure. Lakini vipi kama "urahisi" na "usalama" tunaopewa leo ndiyo pingu za kesho? Hebu piga picha: Unaamka asubuhi, unataka kununua mkate, lakini M-Pesa yako...
2 Reactions
9 Replies
153 Views
Nimekutana na hili tangazo kua hawa watu wa Uhuru Market wame partner na Posta kufanya delivery nchi nzima, vipi kuna aliyewai kutumia huduma zao.
3 Reactions
6 Replies
158 Views
Mi sio mwandishi mzuri ila mwaka jana hapa JF niliweka uzi kuhusu dubai na maendeleo yake kuhusu inavyo fanya ila kama swala lilikosa mjadara. Leo sudani ya kaskazini mfazili mkubwa ni dubai na...
9 Reactions
25 Replies
513 Views
Hallelujah hallelujah! Ombi langu kwa serekali yetu tukufu,sioni umaana wa kubadilisha katiba yote kwa maana ya kuanza upya,je haiwezekani jambo hili likafanywa kwa kugeuza baadhi ya vipengele...
2 Reactions
7 Replies
103 Views
Mtaa wetu wa Nyampulukano umekuwa mtaa wa kidigitali ghafla bin vuu Wazawa wamekopa simu kupitia makampuni ya simu za mkopo hasa hasa simu za WATU i.e samsung A05 na A06, kisha wanamtafuta Musa...
12 Reactions
74 Replies
3K Views
Simu za mkopo zimezuiwa features nyingi mno za muhimu ambapo kibongo bongo ni ngumu mtu kutumia simu bila kuzigusa. Njia kuu wanayotumia wakiona mtu analazimisha kufikia features hizo ni kuzuia...
4 Reactions
14 Replies
550 Views
Je wajua ukioga kila siku mara mbili maji ya baridi, una epuka kunywa pombe, huvuti sigara na bangi, unaenda gym unafanya mazoezi, hubeti, unapata usingizi wa kutosha, unakula matunda kwa kila...
12 Reactions
24 Replies
318 Views
Wakati nakua huko nyumbani (Arusha) nilikuwa nasikia story za kutisha kuhusu kiumbe kiitwacho Ngoromiko Wasifu wa ngoromiko Mrefu sana Huonekana mara nyingi usiku tuu Huwasha taa mara Moja na...
1 Reactions
53 Replies
9K Views
Ukiangalia migogoro ya iran na USA ni kama hawa watu wamekuwa mwana seserere wa nchi zilizopo karibu na iran. Na mpaka sasa unaweza kujiuliza wao kama wanafanya biashara kwa nini watumie nchi...
0 Reactions
2 Replies
95 Views
Nimejaribu kutafuta threads zangu sizioni sasa najiuliza hii app ya JF imezipeleka wapi maana sina access nazo wala siwezi kuziona. Nikiingia kwenye "your contents" nakutana replies zangu kwenye...
1 Reactions
11 Replies
192 Views
Wakuu habari! Leo nmeamka nikaikumbuka shule yangu niliposoma Advance pale musoma Tech. Nimemkumbuka Mzee Matogoro, mama Helena, Mganga... Wale vijana wa Pulyamboooo! Hahaha lkn zaidi...
1 Reactions
111 Replies
12K Views
Siko hapa kutaja mtu. Ila kwa bahati mbaya katika jamii zetu ukizungumzwa afya ya akili ni kama utoto wa mamaa hivi ila kiukweli vijana wana issues sana. Akili zimevurugwa kwa mchanganyiko wa...
13 Reactions
111 Replies
2K Views
Back
Top Bottom