Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Dkt. Mackrina Nombo, Mtaalamu wa Lishe Wizara ya Mifugo na Uvuvi kupitia Mradi wa Mageuzi ya Tasnia ya Maziwa na Mabadiliko ya Tabianchi ulio chini ya Wizara hiyo unaofadhiliwa na Mfuko wa...
3 Reactions
4 Replies
155 Views
Maisha ya mwanadamu yamejaa maamuzi mbalimbali. Wakati mwingine tunafanya mambo kwa sababu ya hasira, tamaa, ujinga, ushawishi wa marafiki, au kutokufikiria madhara yake ya baadaye. Baadhi ya...
5 Reactions
44 Replies
1K Views
Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu jengo la Stendi Mpya ya Mwenge. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara, huku ikidaiwa kuwa jengo zima linadaiwa bili ya...
1 Reactions
7 Replies
543 Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC), linaendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi waliopisha ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita Tabora–Kigoma, ambapo Julai 15, 2026 Wananchi wa...
1 Reactions
4 Replies
141 Views
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyotolewa na Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika "TANROADS ilipima makazi yetu kupitisha Barabara ya Njia Nne (Kibaha -...
0 Reactions
0 Replies
142 Views
Eti NMB PESA ZENU HAMSAFISHI zimeenyooka ila ni chafu yaani kama karatasi zilizochakaa Hizo zote zimetola kwenye ATM bora hata kwa wakala Nb zinafanya kazi yake nimekerwa tu kukaa na...
4 Reactions
34 Replies
463 Views
Kwa mkono wa Robert Heriel. Wangestahili huruma lakini si sasa. Wangestahili kupendwa lakini si Zama hizi. Wangestahili kujaliwa na kuheshimiwa lakini hiyo ingefaa zama zile sio zama hizi...
170 Reactions
664 Replies
72K Views
Habari Jf. Kuna kesi ya mwanafunzi mwenye miaka 17 anayepaswa kujiunga na Chuo Kikuu mwaka huu. Nashindwa kusajili namba yake ya NAPA. Msaada tafadhali
1 Reactions
1 Replies
113 Views
Serikali ya Mkoa wa Arusha, imeamua baada ya kuacha Unga limited , Sokoni 1, Chaka Ungatwe, Matejoo, Sakina, Sombetini, Ngusero na Majengo kuwa Skwata na watu kujikatia viwanja vya 10 kwa 10 sasa...
0 Reactions
0 Replies
72 Views
Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari. Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa Naomba Kama una nafasi ya kumrudia...
17 Reactions
68 Replies
2K Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Nimefika katika jengo la RITA kufuatilia cheti cha mdogo wangu baada ya kupita takribani miezi miwili tangu nilipotembelea mara ya mwisho. Napenda kutoa mrejesho kuhusu changamoto ambayo ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
108 Views
Wakati tunaamini kuwa Mungu ni mkamilifu, bado tunakutana na mambo magumu kuhusu baadhi ya maumbile ya mwili wa binadamu. Mojawapo ya maswali hayo ni muundo wa tezi dume na jinsi urethra...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Hizi ni dalili 15 zinazoweza kuonyesha tatizo la tezi dume (prostate), iwe ni kuvimba kwa kawaida (BPH), maambukizi (prostatitis), au saratani: 1. Kukojoa mara kwa mara, hasa usiku (nocturia) 2...
1 Reactions
4 Replies
243 Views
Sasa hivi Kila ukifungua redio wao hutangaza wa kubashiri kwa kutuma Hela kwenda studio. Najaribu kuwaza hivi unajuaje na namna wanavyoendesha hiyo michezo kwa sababu wewe unatuma tu hela halafu...
2 Reactions
5 Replies
147 Views
Kuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia...
36 Reactions
97 Replies
1K Views
Katika chumba cha mihadhara katika Taasisi ya Confucius ya Chuo Kikuu cha Dodoma nchini Tanzania, Tausi Iddi Nzimano, anayejulikana kwa jina lake la Kichina kama Lin Shi, hubadilisha kati ya lugha...
1 Reactions
6 Replies
151 Views
Back
Top Bottom