Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ni ndoto niliyoiota miaka miwili iliyopita, na wala sijawahi kumuadisia mtu yeyote yule mpaka leo hii. Nimeona acha tu niitoe hapa. Na sababu za kuitoa ni kwamba huenda labda ninaweza nikapata...
8 Reactions
73 Replies
2K Views
Leo nimeona Bongo Zozo amepost video ameweka na Caption "Nimemkumbuka sana rafiki yangu jamani 🥲🥲" Imefanya niwaze, ndugu, jamaa na marafiki wa Humphrey Polepole watakuwa wanaumia sana...
2 Reactions
4 Replies
173 Views
Mwaka jana nilienda congo, nilikuwa nimeenda na washikaji zangu tukapata changamoto kidogo vyakula tulivyoenda navyo viliisha ikabidi tutoke sokoni tukaangalie baadhi ya vyakula ambavyo tunaweza...
11 Reactions
66 Replies
1K Views
Mbinu ya 'Asali na Mtego': Jinsi Skandali za Mapenzi na Nyaraka Zinavyotumika Kuangusha Nembo za Kidini (Kisa cha Sheikh Walid na Fr. Dr. Kitima) Wana-JamiiForums, hamjambo! Katika ulimwengu wa...
0 Reactions
2 Replies
163 Views
Broo haijalishi mwanamke wako ana sali kiasi gani Na ni mpole kiasi gani Ila ukweli halisi wa mwanamke wako upo kwenye simu yake
1 Reactions
3 Replies
136 Views
Kuwa class nje Kuwa mrs mtaani Ila unapokuja kitandani weka pembeni mambo ya kuwa descent YAaani tingisha makebo zaidi ya wale wadada kwenye porno, lia kama mtoto, ikalia huku ukilala, igeukia...
13 Reactions
50 Replies
839 Views
https://www.instagram.com/reel/Da0YWM7ilrx/?igsh=bDU3OGppamRkZWpv
2 Reactions
6 Replies
122 Views
Last Sunday nilikuwa natoka Tabora kuja Dar kwa usafiri wa ndege ya Precision Air. Kero ya kwanza (ambayo ni ya muda mrefu) niliipata pale kwenye security check ambapo jamaa (Tanzania Airport...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimepigiwa simu muda huu kuwa mwanasiasa mkongwe wa zamani Mzee Kasela Bantu amefariki Dunia, naomba mwenye taarifa kamili hatujulishe
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Hakuna kitu kina rahaa pale ndoto zako zimetimia kwa wakati sahihi na muda wa umri wako. Leo unakuta mwalimu au mtumishi anastaafu ndio anamiliki ndoto yake ya kununua gari wakati umri aliobakiza...
5 Reactions
12 Replies
207 Views
Madereva 165 ambao walikuwa wanasoma kozi ya udereva katika Chuo cha VETA Mpanda wameiomba serikali kuingilia kati sakata la kutofanya mitihani yao ya mwisho hadi sasa licha ya muda wa kozi hiyo...
0 Reactions
0 Replies
93 Views
Argentina wanakipiga saa nne kamili za usiku kwa saa za africa mashariki mchezo ambao unasubiliwa kwa hamu na mashabiki wengi wa mpira mchezo ambao unatafuta mshindi"" atakaecheza fainali dhidi...
3 Reactions
25 Replies
454 Views
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (wapili kulia), akimkabidhi Mguu wa Bandia mkazi wa Tanga mjini, Bi. Rehema Amour (wa pili kushoto), katika hafla ya Kugawa Miguu Bandia kwa watu...
0 Reactions
3 Replies
157 Views
Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimehimizwa kuwa na umoja wenye malengo katika kukabiliana na changamoto zinazoibuka duniani ambazo zisiposhughulikiwa ipasavyo...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuanza kwa utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja katika wilaya za Malinyi na Ulanga, mkoani Morogoro, kwa lengo la kuboresha huduma...
0 Reactions
2 Replies
106 Views
Hii si biashara, hivyo sina haja ya kurembaremba uzi wangu huu. Trend ya vijana kufa mapema (premature death) imekuwa kubwa. It's abnormal. Sababu zinazofanya vijana waishi miaka michache ni 1...
3 Reactions
8 Replies
322 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Morogoro (MORUWASA) imesema changamoto ya bomba lililopasuka katika Mtaa wa Bomaroad iliripotiwa na wananchi wa eneo husika imeshashughulikiwa na sasa...
0 Reactions
1 Replies
86 Views
Kuna magonjwa ambayo watu wengi huyaficha kwa sababu ya aibu, unyanyapaa (stigma), au utamaduni, lakini wanatumia pesa nyingi kuyatibu kwa siri: Magonjwa ya zinaa (STIs) na uzazi: Kaswende...
2 Reactions
1 Replies
95 Views
Back
Top Bottom