Richard Kasela Bantu afariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Richard Kasela Bantu afariki dunia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Konaball, Jul 16, 2010.

 1. K

  Konaball JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,776
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  Nimepigiwa simu muda huu kuwa mwanasiasa mkongwe wa zamani Mzee Kasela Bantu amefariki Dunia, naomba mwenye taarifa kamili hatujulishe
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Jul 16, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Mkuu, alokufa ni kakake na si Kaselabantu. Amerejea jijini kwa ajili ya msiba na yuko salama, unaweza kui-edit post yako pls?
   
 3. K

  Konaball JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,776
  Likes Received: 466
  Trophy Points: 180
  sawa mkuu sio mzee Kasela Bantu ni kaka yake au na wewe umechanganya na Tedy Kasela Bantu yule Mbumge
   
 4. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2010
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aliyefariki ni Richard Kasela Bantu mtoto wa Mzee Kasela Bantu na kaka wa Mheshimiwa Mbunge Tedy Kasela Bantu,msiba unafanyika Mbweni nyumbani kwa marehemu Richard Kasela Bantu,Mazishi yalikuwa yanawasubili watoto wa marehemu wafike ambao wanaishi UK.Mwenyezi aiweke roho yake mahari pema peponi!
   
Loading...