Kama una changamoto ya kuomba vyuo au mkopo tuwasiliane kwa
0623446608
Kumbuka:Si kwaajili ya fedha ni kwaajili ya kukusaidia IKIWA tofauti screen shot mawasiliano yetu na jina langu halisi...
Aise mimi kuna mmoja nilimzibua na nyundo ya mgongo, nimempa simu abadilishe kioo, cha ajabu akarudishia kioo kile kile kibovu kakifuta na maji flani hivi kikatulia freshi nikaondoka, baada ya...
Alooh hapa nilipo nahitaji ushauri nasaha kabla sijafanya maamuzi magumu. Ni laki 3 ila naiona kama milioni ukizingatia nipo kipindi kigumu nafsi haitaki kumuachia Mungu uuuuuwwwwwih!!!!
Hii kitu imenishinda kabisa.
Kitu hunishangaza ni kuona mwanaume anaweka status, ile huduma imekaa kikike sana. Tena kwa mabinti wa seco labda na vyuo.
Wanawake imekuwa kama sehemu ya kupigana...
Usije ukawa na mtoto ukakaa naye maeneo haya.... Huwa hawakui, hawawi wanaume. Mi hata nikipata rafiki akiwa amekulia hayo maeneo huwa namwona kuwa bado hajawa mwanaume kamili
Sisi wanaume wa...
Salam wakuu.
Tuko Mbezi Magufuli bus teminal, Abiria wametelekezwa na wahudumu wa basi la Al-said Dar-Morogoro,
Tumeambiwa gari inakuja saa nane mchana, mpaka mda huu saa kumi na mbili jioni...
ilikua ni usiku mnene na majira ya baridi kali mno inayopuliza mpaka unaisikia inapenya kwenye mifupa tulikua wengi lakini kadiri mda ulivozidi kuyoyoma ndio wote walizidi kupukutika mmoja mmoja...
Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua...
Msela mavi kutoka kaburu,karudishwa na dege la umoja kufika bongo kaona usela mavi dili🤣🤣🤣🤣🤣
Bamdogo na dingi yake wamemuweka sawa akaona sio powaa akaleta usela mavi wa South africa wa kuwapiga...
WANAUME CHATTERBOX; MWANAUME GANI UNAONGEA SANA KAMA MWANAMKE BHANA
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Zamani kulikuwa na dhana nyingi potofu ndani ya jamii hasa kuwahusu wanawake. Na mpaka...
Kwanini NIDA inachukua Muda Mrefu Kutoa Vitambulisho Kwanini Isitumie Utaratibu wa Tume Ya Uchaguzi Mtu akikamilisha Taratibu Anaondoka Na kitambulisho Chake Siku Hiyo Hiyo Aliyojiandikisha,
Na...
Kwa kifupi:
Air Tz Mwanza hawatambui boarding pass za mtandaoni, wanakulazimisha upange tena foleni ya kaunta hata kama hauna mizigo.
Full:
Juzi nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza na Air Tanzania...
Ni takribani miezi sita sasa H.polepole hajulikani kama yuko hai au amekufa
Ana macho au hana
Ana vidole au hana
Ana kucha au hana
Ana mpumbu au hana
Kifupi amepotezwa na hakuna hata...
Nipo mkoani, mara nyingi huwa nahitaji vifaa vya nyumbani na ofisini kutoka sokoni kariakoo moja kwa moja. Sasa kuna ndugu nimekuwa nikimtumia kwa muda mrefu amepata safari na yupo nje ya mkoa wa...
Binti anayedai sheikh ni mzazi mwenzake hataki kuwa single mother, anataka mtoto wake kulelewa na baba yake, kosa lake liko wapi hadi ashambuliwe?!
Mnaomshambulia huyu binti leteni ushahidi...
Kuna kipindi pesa ilikuwa inapotea sana, kuna mzee akaja akaniambia punguza huruma bwanamdogo huko kwenu ukoo una watu wangapi ww ikitokea kila kitu upo front kutoa hela
Kila ndugu akipiga simu...