Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Mara, Manispaa ya Musoma, Kata ya Kwangwa.
Nililipia huduma ya kuunganishiwa umeme na TANESCO tangu Machi 2026 hadi leo mwezi Julai 2026 bado sijaunganishiwa, ni karibu...
Uganda imegubikwa na huzuni kufuatia tukio la kusikitisha lililoripotiwa kuhusisha familia moja kupoteza maisha kwa namna ya kuhuzunisha.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, watoto watatu wa...
Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa, amesema ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma ni hatua ya kimkakati itakayoiunganisha Tanzania na masoko ya...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni, ameongoza mamia ya wananchi na wadau mbalimbali wa mazingira katika matembezi ya Save Soil...
Ahadi ni deni.
kama kitu huwezi sema siwezi sio unaanza kutoa ahadi za uongo.
Fake promise zitakugharimu vibaya sana yule uliemuahidi unamuachia maumivu makali sana.
Nipe cv yako kuna mahali...
Nmeona sehemu kadhaa watu wakifurahia na kunywa pombe toka asubuhi wakifurahia na kuchekelea kwa yule jamaa mbabe wa JF kufungiwa. Kwa kweli kumekuwa na utulivu kwa baadhi ya watu huku wengine...
By
Æfrica Macka Bara
-------------------------------------
Je, umefundishwa katika dini yako kuwa Biblia na Quran ndio vitabu pekee vyenye nguvu na maajabu? Ni kweli vitabu hivi ni miongoni mwa...
Ukiambi wa Sali Sali kweli
Hapo juu n list chache tu na wao wakiamka wanaombea wateja wao ukiwemo wewe
Hapo sijataja wazee wapale mahakaman aka mawakili, yaan pigana na maombi dunian Mungu pekee...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (katikati), akishiriki matembezi yaliyolenga kuhamashisha jamii katika Uhifadhi na Utunzaji wa...
Habarini,
Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki!
Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika...
Hii picha ya shirika la habari Reuters inawaonesha baadhi ya raia Iran wakifuatilia kwa furaha na tabasamu jana mashambulizi ya mabomu nchini mwao yanayoendelea nakutekelezwa na Marekani.
Cha...
Julai 17, 2026, JamiiAfrica ilitembelewa na Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau kwa lengo la kuaga baada ya kumaliza muda wake wa utumishi nchini.
Balozi Christine alianza...
Na hizi ndo bachelor degrees zinazohitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na akili nyingi zaidi duniani
1. Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS) – Udaktari
Masomo mengi, muda mrefu wa...
Mtu anakufuata na kukuambia:
💬 “Tafadhali nisaidie kushika begi hili. Nitarudi baada ya dakika chache.”
Watu wengi wangekubali bila kufikiria mara mbili.
⚠️ Hilo linaweza kuwa kosa kubwa.
Kabla...
Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepokea baiskeli 279 kutoka kwa mdau wa maendeleo wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha utoaji wa huduma za afya ngazi...
Wakuu happy day!
Natafuta friend wa kushare naye experience kuhusu maisha ya kiroho,,, maana wengi wanasema ukiwa unasali kama bado uko youth majukumu ya kiwa mengi hufiki mbali,,, je kuna ukweli...