Bin Shaib
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,434
- 1,363
Wapendwa habari ya majukumu ya kulijenga Taifa letu la Tanzania. MUNGU ni mwema kwetu,hakika anatupigania usiku na mchana,,
Maada:
Nimekaa nikijiuliza, kwanini nikianza kupata pesa mfulululizo ama kiasi fulani ambacho unasema angalau,unashangaa unapigiwa simu na mtu mnaefahamiana au ndugu anasema umkope kiasi atakachosema atakurudishia ,pengine baada ya wiki moja mbele.
Yaani huwa najiuliza kwanini inanitokeaga,ama nakwa baadhi yenu ipo hivyo?
Je,ni kwanini inakuwa hivi?