TRA na watu wengi wamekuwa wakitudharau sana, sisi watu wa miavuli , Ukweli ni kwamba kwa siku hamna hamna ninalaza 500,000/-.
Hapo bado kuna delivery ambazo wala hazipo golini, zinatoka Stoo...
Uzi maalum kwa wale tuliozaliwa mwaka elf mbili kuendelea kwa ajili ya kumbukumbu za utoto shule tukiwa tunasoma hata hujasoma unaweza ku-
Share story yako hata kipindi ukiwa unachunga kumbukumbu...
Tanzania imeendelea kuonesha uwezo wake katika jukwaa la kimataifa la UNESCO baada ya Bi. Rose Kinabo kuiwakilisha nchi katika Jukwaa la Vijana Wataalamu wa Urithi wa Dunia 2026, linalofanyika...
Uamuzi wa kuwataka madereva wa vyombo vya moto, hususan madereva wa malori makubwa, kurejea vyuoni kama VETA kwa ajili ya kuongeza ujuzi ni hatua nzuri katika kuimarisha usalama barabarani na...
Tuliozaliwa na kukulia bongo tukiambiwa kuhusu dini, akili yetu inakimbilia kufikiria kuhusu dini kuu mbili hapa nchi Ukristo na Uislam.
Lakini, mbali na Ukristo na Uislamu, dunia ina dini...
Vita ni kali haswa na wanataka kufikishana pabaya
Mteja mwenye Duka la Reja reja mwanza anafunga safari anakuja Dar kwa muuzaji wa jumla ananunua tshrt 10,000 bei ya jumla anabeba hata pisi 300...
Nimejaribu kuangalia inspection report naona inaonyesha inspection date na valid until vinafanana yani inaisha siku hiyohiyo. Status pia inasoma expired.
Je kuna tatizo la mfumo wa ukaguzi kutoka...
Moderator msibadilishe kichwa cha habari wala kukilemba.
Tunaomba kujua na tunaka mtueleze serikali maana sasa ndio msemaji wa serikali upande wa msigwa.
Anaweza kuitisha vyombo vya habari na...
Kama unamjua mtaje kuna member humu alitambulishaga Id zake zote cha kushangaza kwenye baadhi ya mada ana reply kisha aquote kujitukana na na Id yake nyingine Kuna muda an ji tag mwenyewe sasa...
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Zanzibar, Dkt. Khalid Salum Muhammed amewaambia waandishi wa habari ofisini kwake kwamba safari za umbali mrefu kuanzia kilomita 60 hadi 70, nauli itakuwa...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Rhimo Nyansaho (Mb), amesisitiza umuhimu wa kuendeleza ushirikiano kati ya Tanzania na China katika diplomasia ya ulinzi ili kuimarisha usalama...
Hata kama biashara yako ni ndogo funga CCTV camera na imarisha ulinzi hakuna kitu kinaumiza kama kuibiwa yan mtu unapambana kwenda mbele wezi wanakuja kukurudisha nyuma steps kadhaa.
Popote mwizi...
Nafahamu kuwa watanzania wanapenda sana Nyama Choma.
Na kiukweli kabisa katika nchi hii sehemu mbili tu katika mikoa miwili ya Arusha na Dodoma ni maarufu zaidi kwa uchomaji wa Nyama na ndio...
Utasoma sana Vitabu, utasikiliza sana speeches za waliofanikiwa ila ukweli hutoweza fanikiwa.
Mi nachoamini hata Mo dewji kua vile sio kwa namna ile tunaona sisi ukute hata yeye hajuijui...
Kuna uzi nilisema kuhusu biashara ni mda ,wakati,mapungufu na eneo.
Ila kwa sasa kila kona hakuna cha mkoani wala cha wapi ,kila mtu anatengeneza nyumba za kupangisha za kisasa au fremu zenye...
Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi.
Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya...
Leo ni siku ya pili Internet yao inaandika "sign in to network" mara "network not available " toka jana wananambia suala lako linashughulikiwa ndan ya masaa 6.
katika masaa 48 je kuna masaa 6...
Ukiangalia nchi zote za afrika zilisubiria kosa kwanza likafikia tamati ndio waanze kulitatua.
Ukilinganisha na wenzetu kukionekana kuna dalili ya makosa uwahi haraka kulitatua ,Ndio maana kila...
Mkijua watu hawana habari na nyie kwanza niwafunue tu.
Mwamposa siku yoyote ni kama bushiri yule aliyejipigia pesa south africa na kukimbilia malawi.
Mwamposa uwezi kuona anauzunika na haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.