Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

1. ROMBO a. Wachapa kazi - bulldozer b. Wana upendo c. Wabunifu sana kimaendeleo d. Wana heshimu ndoa e. Ulevi - hadi gongo na konyagi f. Ushamba g. Hawajui kupika h. Wizi - Mnaposikia wachaga...
30 Reactions
127 Replies
7K Views
Usijisahau ukasema una marafiki wengi kazini , kuwa makini sana. #Malenga wa Kiha #Mwanasayansi Kalivubha Karibu
2 Reactions
1 Replies
55 Views
Sijawahi kusikia au kusoma maelezo yoyote kuhusu kwa nini binadamu wengine wamekuwa Waafrika, Wazungu, Waarabu, Wahindi n.k ikiwa wote tulitoka kwa Adamu na Hawa.
13 Reactions
93 Replies
833 Views
Wakuu Hawa jamaa ambao Wana resign Kwa pressure kwanini barua zao huwa zinakuwa posted Kwa private account zao!? Au official channels zinakuwa restricted!? Au wanakuwa exile wakati huo wanapotaka...
1 Reactions
0 Replies
45 Views
Pascal Mayala aliwahi kueleza kwamba Nchimbi ni mtu mkweli na mwenye uwezo wa kulisaidia sana Taifa pamoja na Rais. Kauli hiyo inapata uzito mkubwa zaidi sasa baada ya Nchimbi kutangaza kuondoka...
0 Reactions
2 Replies
94 Views
Tanzania imesema ushiriki wake katika Mkutano wa 17 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Kupambana na Kuenea kwa Hali ya Jangwa na Ukame (UNCCD COP17) unalenga kuimarisha juhudi za...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
Nimejaribu kuyatafakari yanayotokea hakika ni ustaarabu wa haki za kidemokrasia uliopitiliza,leo hii litokee hili kwa heche patachimbika!,japo ni makamu katika vyama vya upinzani
0 Reactions
0 Replies
20 Views
  • Redirect
Siasa ni mchezo, Siasa ni unafiki. Siasa ni "game of thrones"
1 Reactions
Replies
Views
Disco limevamiwa na Masai
2 Reactions
26 Replies
187 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Emmanuel Nchimbi, ametangaza uamuzi wa kustaafu siasa na utumishi wa umma. Nchimbi amesema leo, Agosti 25, 2026, amemuandikia barua Rais wa...
2 Reactions
15 Replies
332 Views
ETI TURITHI DHAMBI ZA WATU HATUWAJUWI HUO SI NI UZWAZWA:
0 Reactions
2 Replies
45 Views
Mwili wa mtu mmoja mwanaume ambaye hajafahamika jina umekutwa unaning'inia kwenye mti eneo la Makangarawe Yombo Dovya jijini DSM akidaiwa kujinyonga. Polisi wamechukua mwili huo kwa ajili ya...
1 Reactions
3 Replies
127 Views
Matokeo ya hivi karibuni kutoka kliniki binafsi na za umma zinazotoa huduma za uchunguzi wa DNA kote nchini Malawi yanaonyesha kuwa takribani asilimia 80 ya wanaume wanaojitolea kufanya vipimo vya...
3 Reactions
25 Replies
206 Views
Tanzania imepewa mkopo wa billion 459 kutoka Korea kusini fedha hizo zitatumia kwenye ujenzi wa chuo cha AI and digital technology Mimi najua hizo ela wamekopa za kuwalipa majaji wa mchongo kila...
2 Reactions
12 Replies
68 Views
Mimi ni zero brain, sina ninachokijua lakini najaribu kuwaza, Rais ni tasisi kwa ufaham wangu Haya maswali siku nikipata majibu nitakula nyama kilo Moja 1. Aliyeshauri Dr Nchimbi awe makamu wa...
2 Reactions
1 Replies
56 Views
ANAANDIKA BICHWA KOMWE 👌 Katika hii jamhuri yetu, na hata kwingine kokote nje ya Tanganyika, ni ukweli ulio wazi kwamba, kupata mtoto ni rahisi sana kuliko kupata ajira ya Tamisemi. Watu wengi...
17 Reactions
173 Replies
1K Views
Anonymous
Mimi ni mkazi wa Chalinze, Mtaa wa Nero, Darful. Tunaendelea kukabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji mara kwa mara. Wakati mwingine tunakaa hadi mwezi mzima bila kupata maji. Hadi...
0 Reactions
0 Replies
24 Views
Wakuu natoka msibani kwa mjomba wangu muda huu Mjomba alikua mfanyabiashara alikua na upepo wa biashara ogopa, Alikua akija kununua mzigo hadi yeye amalize ndo wengine wenye mitaji midogo midogo...
5 Reactions
10 Replies
188 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…