The_Analyst
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 238
- 83
Habari Wana jamvi,
Kwa wale waliowahi kufika hotel ya Southern sun Posta Mpya karibu na hospital ya Ocean road, Dare es salaam mtakua mmeshawahi kuona viota vingi vilivyojengwa na hawa ndege aina ya "Weaver birds" kwenye palm trees at the entrance of the hotel.
Swali langu ningependa kujua wamewezaje kuwa-attract hawa ndege kujenga viota vyao kwenye hiyo miti ya palm trees at the entrance of the hotel.
Kama kuna mdau anajua mbinu za kuwaattract hawa ndege kujenga viota kwenye palm trees nyumbani kwako atujuze.
Natanguliza Shukrani...