Mshikaki tsh 100; Hivi hawa wananunua nyama kilo shingapi?

Mshikaki tsh 100; Hivi hawa wananunua nyama kilo shingapi?

Vitu hatuangalii vimetoka wapi

Ukiwa na laana na kiongozi

Tambua watu wanaweza kulishwa maiti za watu kibufee na hakuna wa kupinga

Ndio maana uongozi ni laana
 
IMG-20260113-WA0042.jpg
 
hawanunui kwa kilo. wanauziwa kwa mafungu. yaan anaenda machinjioni ile saa 9 usiku anakuta kuna nyama zko mafungu mafungu anachagua fungu analotaka. halafu hyi mishkaki hua sio nyama ile stake kabisa nooo,, hua ni nyama flan hv kama mpira yaan inavutika. sjui nkuelezeaje ila sku moja jihimu nenda machinjion kule mombasa gongolamboto utaona.
 
Mbona hvy vya mia hua n vidogo mno vinaishia kwenye meno tuu, labda ununue kuanzia vya buku ndo kiu itakata.

Kwa size ile bado wanapata faida huko wanaponunua mana n vidogo mno

Anyway, pilipili/kachumbari yao inakuaga tamu knoma na hy ndo sababu yangu ya kununua 🔥
Bro. Naona kabisa Ushakula paka .

Kuna siku niliona pale Tandale Mishkaki mia 2. Tena ni mikubwa tu.
Nikashangaa sana.
Ila sikuthubutu kuonja. 😊😊😊😊
 
Bro. Naona kabisa Ushakula paka .

Kuna siku niliona pale Tandale Mishkaki mia 2. Tena ni mikubwa tu.
Nikashangaa sana.
Ila sikuthubutu kuonja. 😊😊😊😊
Cha msingi ni kwamba mpaka sasa cjaona madhara yoyote, hvy hao paka wanakuwa Watamu sana nashauri waanze na kuuza nyama za watu mana wajinga wajinga wapo wengi unaweza kupata nyama zao 🔥
 
Epuka tamaa ya tumbo ya kula kula hovyo mjini daslamu. Mitaa flani wanauza samosa/sambusa 200/= imejaa nyama. 😊
Kuna chimbo, Buguruni hapo pana uzwa supu funyango mbili na chapati moja, buku tuu.
 
Vitu hatuangalii vimetoka wapi

Ukiwa na laana na kiongozi

Tambua watu wanaweza kulishwa maiti za watu kibufee na hakuna wa kupinga

Ndio maana uongozi ni laana
Nyama za mtaani na mambo ya uongozi yanaingiliana vp?

Wabongo kwa kulalamika 🙌
Ipo siku utailaumu uongozi mkeo hashiki mimba
 
Epuka tamaa ya tumbo ya kula kula hovyo mjini daslamu. Mitaa flani wanauza samosa/sambusa 200/= imejaa nyama. 😊
Kuna chimbo, Buguruni hapo pana uzwa supu funyango mbili na chapati moja, buku tuu.
Kuna malalamiko yoyote uliyasikia kutoka hizo sehemu?

Wauzaji wanakosa wateja?
 
Back
Top Bottom