Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Poleni sana JWTZ hasa wale mliokuwa nae pale 837kj Chita Operation Magufuli, kule MONUSCO na hivi karibuni CTC Mapinga Bagamoyo. Rest In Peace Marine Commando Kibona na pole zaidi kwa Familia...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Nchi yetu na dunia sasa inalazimisha amani ila sio haki. Ndoa nyingi ukichunguza ni neno haki yake kwa sababu umempangia. Sasa hii haki imefikia mpaka maoni ya ndoa .
0 Reactions
1 Replies
80 Views
Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dkt. Ayub Rioba, amefunguka kuhusu changamoto za uripoti wa habari za vyama vya upinzani na kuweka wazi kuwa chama cha CHADEMA...
0 Reactions
10 Replies
299 Views
Simanzi imetawala kwa familia ya Karen Remi (22) ambaye ni Mkazi wa Arusha baada ya kupoteza Watoto wake watano aliowajifungua njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mount Meru. Kwa mujibu wa...
0 Reactions
4 Replies
139 Views
Bank gani kila mara changamoto? Leo NMB mobile siku nzima hakuna mtandao. Na si mara ya kwanza. Mimi binafsi ninechoka, nitahamisha mshahara wangu bank inayojielewa, maafisa utumisha watake...
13 Reactions
42 Replies
890 Views
Habari Umri wangu 33 ni babu kabisa katika mikakati ya ujana , ujana unaishia wallah Sasa katika hali sio ya kawaida nakatiza Kona mitaa ya kinondoni napokea salamu Kwa sauti nyororo na raini...
7 Reactions
38 Replies
817 Views
Madereva wa magari ya masafa marefu wameeleza kutoridhishwa na utaratibu unaowalazimu kurejea darasani kila wanapohitaji kuhuisha leseni zao za udereva, wakidai kuwa mafunzo hayo yanajirudia na...
1 Reactions
1 Replies
106 Views
Habari wakuu. Ni miaka 5 sasa imepita tangu mara ya mwisho kuwepo katika mji wa Songea,ukweli ni moja ya miji midogo Tanzania ambao ulinivutia sana na kupenda maisha ya pale. Nimewahi ishi miji...
14 Reactions
65 Replies
1K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dkt. Benson Bagonza amedai kuwa kuna tafsiri mbili zinazopingana za hotuba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano...
1 Reactions
1 Replies
117 Views
Syria ilifikia mpaka kila mtu uhuru wa kuhoji ulikosekana. Siku moja watoto waliandika "Samia must go" .Kilichotokea walitekwa na kuumizwa sana na ndio mwanzo wa nchi ilipofikia hapo. Kwa haya...
1 Reactions
0 Replies
60 Views
Wanabodi Mimi mwanabodi mwenzenu ni muumini wa Kanisa Moja Katoliki Takatifu la Mitume,nikiabudu katika Parokia ya BMMH (Bikira Maria Mama wa Huruma) Mbezi Beach DSM, leo wanampokea kwa kishindo...
5 Reactions
14 Replies
369 Views
Salaam ni makelele. Kwa africa tulikofikia ni ngumu kumeza. Sasa hivi africa kila nchi inapigana kivyake. Wengne wakishinwda kupambana na serikali wanabaki kulumbana wenyewe kwa wenyewe kama sisi...
6 Reactions
54 Replies
796 Views
Katika mambo yanayoshangaza sana nchini ni ubutu wa Tume ya Ushindani wa Kibiashara nchini (Fair Competition Commission, FCC). Kuna mambo mengi sana nchini yanafanywa na wafanyabiashara kwa...
3 Reactions
14 Replies
297 Views
Ikiwa mtu kama balozi Polepole alitekwa na mpaka leo Samia na serikali yake hawana majibu, Ally Kibao aliuawa na serikali ikasema kifo ni kifo tu, nasasa magaidi ya CHADEMA yanakamatwa kila...
1 Reactions
0 Replies
100 Views
Habari za w'end wakuu Niende moja kwa moja tu bila chenga, akili imewaza ila sijapata mwafaka. Thread zangu za nyuma zinaweza kuwa reference ya kile nachopitia, anyway: Wakuu nipo mjini DSM na...
9 Reactions
49 Replies
745 Views
Wamepunguza main pressure sasa wanataka wa SA watulie kwanza kwa kanuni nyingine mpya zenye wingi wa upole huku wakiwa tayari wamefanikisha yao!
1 Reactions
2 Replies
86 Views
Nashindwa kuelewa muelekeo ambao umebakisha kufa sasa. Kwa nini mambo ya Tanganyika kila kitu kinaenda kufanyika huko. Wakati kila jambo lipo hapa.
2 Reactions
2 Replies
89 Views
Uislamu haukuanza leo, wala Qur'an na Sunnah havikushuka kwa kizazi chetu. Allah Aliwachagua Maswahaba wa Mtume ﷺ kuwa mashahidi wa wahyi, wakajifunza moja kwa moja kutoka kwa Mtume ﷺ, wakauelewa...
8 Reactions
5 Replies
130 Views
Uchumi wa mwanafunzi chuoni nile ile hela anayokuwanayo kwa kila sku aipatapo.Huu uchumi wake umekuwa katika sehem mbili tegemezi au kutoka kwake mwenyewe. Kwa yule anaetegemea ni rahisi sana...
0 Reactions
0 Replies
37 Views
CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kimesema ingawa wahitimu wengi wa kidato cha sita wanajiunga na elimu ya juu wakiwa na matokeo mazuri ya mitihani wengi wao wana changamoto kubwa tatu. -...
8 Reactions
38 Replies
778 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…