Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika hizo Crusade Wars, vita vya kueneza Uislam, watu wameanya ufirauni hovyo. Watu wamelawitiana mtindo mmoja. Siyo kwamba upande mmoja ilikuwa una makosa. Wote tu walikuwa wanafanya uhalifu...
0 Reactions
1 Replies
56 Views
Ndugu wadau habari zenu, Na jaribu kutafari kwa jinsi siasa zimeanza kuonesha mwelekeo usiofaa ambapo baadhi ya viongozi wetu wa kisiasa wanatumia dini au viongozi wa dini kupenyeza ajenda zao...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Dkt. Gwajima D labda unaweza kusaidia wewe una matumaini kwa kimbilio la watu. Hivi inakuwaje mtu kaona kwenye nyumba yake CCTV camera kuna watu sio salama na wana magari ambayo hata jambazi...
0 Reactions
2 Replies
146 Views
Wakuu salamu. Nilikuwa mwajiriwa wa sekta binafsi ambapo michango yangu ilikuwa ikienda NSSF, sasa nikafanikiwa kuhama huko mwaka 2023 nakuhamia serikalini ambapo mfuko wangun kwa sasa ni PSSSF...
3 Reactions
8 Replies
274 Views
Hapa ikulu wanashindwa kuelewa nani ni mvujishaji wa taarifa. Ukiona raisi kakimbilia kwao znz kuna maagizo sasa wanao muunga mkono kila mambo ya serikali yapitie msikitini. Sio kwa ubaya ni...
5 Reactions
3 Replies
210 Views
Umewahi kushuhudia madhara gani yaliyotokana na Taarifa Potofu? Kisa cha Watu waliong’oa minazi wakiogopa kupata mabusha. Mdau wa JamiiCheck kupitia ukurasa wa Instagram anaeleza kuwa kutokana...
4 Reactions
8 Replies
397 Views
Leo nimekaa nikawa najiuliza biashara ya boda boda za mkataba na hesabu huwa zinawalipaje wamiliki wa bodaboda izo na huchukua muda gani kurudisha mtaji na kupata faida Embu wanaujua hii waweke...
4 Reactions
20 Replies
395 Views
Mara nyingi ukizungumza na watu kuhusu forex trading, utakuta baadhi wanakimbilia kusema: “Forex ni betting tu, ni kubahatisha.” Lakini wakipewa nafasi ya kuelezea kuhusu uchumi wao binafsi au...
4 Reactions
6 Replies
627 Views
Dear Tanzanian doctors, dada wa watu kaja, umemtibu, kaondoka. Badala ya kuondoka, wewe unaenda kwenye faili lake, unachukua namba zake, her personal numbers, unazisave alafu unamtext. Mnaisave...
7 Reactions
45 Replies
806 Views
Embu fikiria hivi vitu viwili akili na elimu wamekosa. Wameishia kuwa watu wa ajaabau tokea kuumbwa mwanadamu yani hata wale wanaofanya kama CCM mfano china nchi yao imefika mbali. Sasa hawa...
3 Reactions
5 Replies
111 Views
Dr. Zack Ilemela, Mwanza. Hivi karibuni kumezuka mjadala mkubwa mitandaoni kuhusu kukamatwa kwa watanzania mbalimbali wakihusishwa na KESI za UGAIDI katika maeneo mbalimbali ya Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
182 Views
Yaani Ndugu yako, ambaye anakuambia 'Ndugu nimeyumba Biashara, Niazime MILIONI 5 nifanye kuizungusha TU chap chap kisha nikurejeshee". Unampa Kiasi hiko pasipo Kuandikishana ila Ndugu wengine...
12 Reactions
54 Replies
1K Views
Mpaka Sasa naona Kila Imani na mbingu yake, wakristo wanaamini katika paradiso, Yesu alimwambia yule mwizi msalabani: “Leo hii utakuwa pamoja nami katika Paradiso.” (Luka 23:43) Lakini pia...
4 Reactions
46 Replies
526 Views
Upo zako mahali, unakunywa pombe Kali na vichanganyo vya baridi, wakati huo nnje huko Kuna jua Kali sana linawaka 🔥🔥 Wakati unakula vimiminika wanapita walimbwende wewe kazi Yako ni kuwapiga...
13 Reactions
74 Replies
1K Views
Ikiwa unataka kuwa na furaha, jifunze yafuatayo: Kujipenda Kujithamini Kujipa kipaumbele Kutoifikiria sana kesho Kuachana na yaliyopita Kufurahia yaliyopo Kukubali kuwa si kila mtu atakupenda
14 Reactions
45 Replies
506 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Maendeleo ya Vijana, Dkt. Joel Arthur Nanauka amesema miradi ya elimu na afya inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita siyo tu uwekezaji wa leo, bali ni msingi wa...
1 Reactions
2 Replies
99 Views
Miaka ya 1980 na 1990 iligubikwa na vita vya umwagaji damu kati ya serikali na makundi makubwa ya kihalifu. Wote tunaijua hadithi ya Pablo Escobar, lakini kulikuwa na mwanamke mmoja katili zaidi...
14 Reactions
24 Replies
577 Views
DAR ES SALAAM; KITUO cha kupandikiza mimba cha Kairuki Green IVF (KGIVF) cha Dar es Salaam kimefikisha watoto 160 tangu kuanzishwa kwake miaka mitatu iliyopita. Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki...
3 Reactions
15 Replies
257 Views
Yn 15:14 SUV [14] Ninyi mmekuwa rafiki zangu, mkitenda niwaamuruyo. Mtu yeyote kuwa na urafiki na mtu mwingine, lazima kuna maeneo waliona wanaendana. Urafiki wetu au ushirika wetu na watu...
0 Reactions
3 Replies
67 Views
Mary Claire binti Aliye mwagiwa Tindikali na aliye kuwa mchumba wake aliye Msomesha amefunguka kuwa, “Sikuwahi kumuomba huyo mwanaume anilipie ada ya shule. Ni yeye mwenyewe aliniomba nimpe...
28 Reactions
158 Replies
3K Views
Back
Top Bottom