Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa upande wangu ni kutafuta 🍑 za vodafasta. Yani mkipata sehem yenye Giza tuu ni kubend then 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 Vipi wewe??
4 Reactions
22 Replies
273 Views
Kuna orodha nimepata hapa ikionesha dunia nzima maraisi na mishahara yao.Samahani hizi sio benk statemnt za CRDB ni zadunia. raisi wa china mshahara wa mwezi ni USD 20000 na wa raisi wa tz ni usd...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo wakati tunapiga story na rafiki yangu ambaye urafiki wetu sasa unakaribia miaka 20 tuliongea mambo mengi tu mara baada ya kuhachana miaka 15 iliyopita Sio kwamba hatuwasiliana naye kabsa...
2 Reactions
2 Replies
176 Views
Unatafuta mwalimu bora wa kumsaidia mtoto wako kufanya vizuri shuleni? Elite Home Tuition tunaleta walimu wenye uzoefu nyumbani kwako kwa muda unaokufaa. Huduma zetu zinapatikana kwa...
1 Reactions
0 Replies
93 Views
Kauli hiyo inatoka katika Biblia, kitabu cha Waefeso 5:18: “Wala msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho.” (Waefeso 5:18) Mtume Paulo alikuwa anawahimiza Wakristo kuepuka...
5 Reactions
1 Replies
73 Views
Nimeona mnaongelea dira ya 2050 kuhusu kuboresha AFYA za wananchi kuwa na TAIFA lenye wananchi wenye AFYA.. Kama hilo halitaendana na KUDHIBITI bidhaa za vyakula 1)energy drinks 2)pombe kali...
1 Reactions
38 Replies
408 Views
Msichana mwenye umri wa miaka 16 kutoka Kijiji cha Lyamidati, Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga, ameokolewa dhidi ya ndoa ya utotoni baada ya operesheni maalumu iliyofanywa na...
1 Reactions
7 Replies
169 Views
Jifunze kujisamehe na kusamehe wengine Kusamehe ni muhimu sana katika kutuliza akili. Jifunze kusamehe makosa yako na kusamehe wengine ili uweze kuwa na amani ya ndani. Kumbuka, hakuna mtu asiye...
1 Reactions
5 Replies
107 Views
Anonymous
Hapa ni Kariakoo Gerezani maji machafu pamoja na kinyesi vimetapakaa zaidi ya miaka miwili, tunapata tabu sisi wapita njia.
1 Reactions
5 Replies
124 Views
Kama wote tunavyojua, Dini ni miongozo ya kiimani hapa Duniani, mafundisho yake utupa njia na namna ya kuishi hapa duniani kwa kufuata miongozo ya mnae mwabudu. Leo nitazungumzia kwa nini siku za...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Anonymous
Tunaomba msaada wenu kupaza sauti kuhusu changamoto inayodaiwa kusababishwa na kiwanda cha vinywaji kinachosemekana kuwa kinamilikiwa na METL Group, kilichopo eneo la viwanda, Mtaa wa Maziwa, Kata...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Siwezi kulala kama sijanywa kinywaji chenye gas na uzuri kinipalie daah Yaani watu wajuzi sana aisee yaani maji yanachakatwa yanatiwa gas na ukinywa unapata radha nzuri pamoja na kubeua yaani nna...
3 Reactions
32 Replies
280 Views
Mpo mbioni na mimi naomba kujiondoa ofisini niwe hata mtu wa kawaida. Ila familia zenu na chawa wenu watasaga meno. Hivi mshawai kuona movie mkishushia juice na kutafuna bisi. Subirini na uzi...
2 Reactions
0 Replies
75 Views
Ni weekend nyingine ya mwezi wa pili mwaka 2025 inaishia.. Wenye kazi zao wako kwenye maandalizi ya kuwahi kesho kazini.. Tusio na kazi kesho ni siku nyingine ya upweke na simanzi nyingine..😪...
14 Reactions
648 Replies
10K Views
Nikikumbuka uswahilini kuku anachaondolewa ni manyoya na kinyesi vengine vinabaki. Kwa dunia ya sasa ijaweka wazi ila wanadai mwanadamu ambaye kashafariki anaweza kuondolewa viungo ndani ya mda...
1 Reactions
1 Replies
82 Views
Wakuu, hamjambo? Kama mada tajwa hapo juu inavyosema, mwenye kumjua mganga wa kienyeji kutoka iramba itapendeza sana akiwa ni mwanamke,nataka mambo ya ndagu na utajili. Kama humjui kaa...
3 Reactions
11 Replies
181 Views
Moto mkubwa ambao bado chanzo chake hakijafahamika, umeteketeza nyumba za askari wa Jeshi la Polisi katika eneo la Msambweni, Mapinduzi A, Kata ya Ngamiani Kusini, Tanga. Moto huo umeteketeza...
2 Reactions
5 Replies
190 Views
Wathesalonike walikuwa wakazi wa mji wa Thesalonike, mji uliokuwa katika jimbo la Makedonia ndani ya Dola ya Rumi. Leo, mji huo bado upo na unaitwa Thessaloniki, ukiwa mji wa pili kwa ukubwa...
12 Reactions
10 Replies
281 Views
Simulizi ya Deborah, mwanamke anayejulikana mkoani Mbeya kama "mlevi mhubiri," ni kisa cha kweli kinachoonyesha jinsi msongo wa mawazo na changamoto za kijamii zinavyoweza kumwangusha mtu, huku...
15 Reactions
44 Replies
1K Views
SITAKI yule mmliki Elie kaunta, asije akaniambia sijui itabidi uninu ulie masofa niweke kwa jili ya wateja. Wale wafanyakazi wanalipwa elfu3/4 kwa siku, ukimuonyesha kibunda analoa hapohapo
5 Reactions
14 Replies
132 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…