Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mimi kuna ile tabia unakuta mtu anaongea na Loud Speaker kwenye simu yaani basi zima mtu anaongea yeye tu. Binafsi nakwazika sana. Hata kama unaongea kwanini usiongee kwa sauti ndogo? Wasukuma...
15 Reactions
79 Replies
1K Views
Msijiwekee hazina duniani, nondo na kutu viharibupo na wevi huvunja na kuiba. Bali jiwekeeni hazina mbinguni, kusikoharibika kitu kwa nondo wala kutu, wala wevi hawavunji wala hawaibi. (Kwa kuwa...
9 Reactions
130 Replies
894 Views
Leo nikiwa napita kwenye mitandoa, nikakutana na mtumishi mmoja ambaye yeye alielezea anavyofanya juu ya Sadaka yake ya Fungu la Kumi Yule dada alisema fedha yake ya fungu la kumi anaweka bank na...
3 Reactions
24 Replies
233 Views
UKIACHA WABUNGE,KUNDI JINGINE LINALOILA KEKI[emoji3057][emoji506] YA TAIFA KISAWASAWA NI HILI HAPA... Wasalaam, Nawasalimu kwa Jina la JMT... # Kazi na Iendelee Ndugu zangu WaTanzania,wakati...
52 Reactions
87 Replies
11K Views
Lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu Linawezekana Siku ya leo nilikuwa katika maombi kwa ajili ya watumishi wa Mungu ambao wamekuwa wakipitia katika changamoto mbalimbali za kidunia. Moyoni...
2 Reactions
6 Replies
137 Views
Jamani madogo hasa new members acheni hii tabia ya kuingia inbox za watu kuanza na Bro naomba hela ya kula.Ukienda inbox za watu 100 ukitegemea mmoja atakutumia pesa hiyo siyo sawa. Pesa...
46 Reactions
282 Replies
4K Views
Natambua kuna kundi la wamarekani weusi wanajiita Foundational Black Americans ( FBAs) , hawa ni " CULT" ambao wana amini kwamba mababu zao ( watumwa weusi walio tumikishwa kwenye utumwa)...
5 Reactions
10 Replies
373 Views
Wafanyabiashara wa Soko la Samaki Feli, lililopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani, tunaomba msaada wa Mkuu wa Mkoa kufuatia ukiukwaji wa taratibu katika ukusanyaji wa ushuru...
1 Reactions
1 Replies
414 Views
Chembechembe za plastic(microplastic) ni moja ya vitu hatari kwa afya. Huleta kansa na pia kuathiri hormones mwilini, hasa za uzazi. Chembe hizi hutokea hasa chombo cha plastiki kikipigwa na moto...
1 Reactions
2 Replies
98 Views
Hapa Ifakara Kuna HAKIMU anaitwa Minja ni mwanamama mwenye dharau sana. Anawatangazia watu waje saa mbili asubuhi yeye anakuja saa 5 alafu akifika anakaa ofisini Hadi saa 9 ndio mnaanza kuitwa...
2 Reactions
11 Replies
250 Views
Kama nimekunywa maji ya chupa au soda take away nimemaliza halafu niko natembea Mwanjelewa serikali inategemea nitupe wapi hiyo chupa ya plastic??
3 Reactions
21 Replies
185 Views
Anonymous (1d04)
Kuhusu ubovu wa barabara ya Babati kwenda Singida kuanzia pale Dareda mission. Barabara ni mbovu Sanaa yani nu mara 700 rough road kuliko ile barabara yani mashimo ni makubwa na hakuna jitahada...
0 Reactions
2 Replies
132 Views
Salaam Hawa jamaa siku hizi wanapenda sana kuchukua sheria mkononi ,jioni hii kuna gari ndogo Carina Ti iligonga boda boda sijajua ni bahati mbaya au vipi basi jamaa wakaanza fujo kiasi cha...
7 Reactions
20 Replies
369 Views
Habari, Naomba kuwasilisha kero yangu kuhusu barabara ya kutoka Mpanda Mjini kwenda Kijiji cha Itenka katika Wilaya ya Mpanda, Mkoa wa Katavi. Barabara hii imeharibika sana na haijafanyiwa...
0 Reactions
0 Replies
56 Views
Hii serikali unaguzi hauishi. Wote na degree moja, ila mwingine kapewa nyumba, ana posho /hela ya nauli na mshahara wa moto. Wewe uko na basic ya 1.2m na unavimbishiwa na boss, mkuu wa hidara...
11 Reactions
24 Replies
654 Views
Habari zenu matumaini ni wazima wa afya Niende Moja Kwa Moja mwenye mada Mimi ni ke ninahitaji kuzungumza jambo sio kwamba nimeharibika ila nimekua na presha na mawazo kazini na ninahitaji mtu...
15 Reactions
81 Replies
2K Views
Wakuu katika hali ya kujikwamua kimaisha kwa sisi waajiriwa saving ni muhimu sana. Kwa sisi ambao hatuna posho yeyote ni mshahara tu ni changamoto kwa kweli, sasa mimi katika dodoso zangu...
3 Reactions
30 Replies
578 Views
  • Poll Poll
WanaJF! Kwema? Moja kwa moja niende kwenye Mada. Mdogo wangu kapata kazi ya Uhandisi ya Mkataba TARURA ila pia kapata Kazi Permenent HALMASHAURI. TARURA atapata kama 2M na marupurpu mengine kwa...
2 Reactions
62 Replies
3K Views
Waziri unayehusika na mazingira, Tafadhali okoa ardhi ya Tanzania kwa kuhakikisha unapunguza uchafuzi wa mazingira kwa taka hatarishi za plastiki na vifaa vya kielekitroniki. Nina uhakika miaka...
2 Reactions
3 Replies
441 Views
Maisha ya wakazi takribani 59,939 wanaoishi katika Kata za Magadu, Mafisa na Chamwino ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro yako katika hatari kubwa ya kiafya kutokana na kukithiri kwa...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…