Ujuzi gani unaweza kumfaa mke wangu

Ujuzi gani unaweza kumfaa mke wangu

Kazi simple unazoweza kumtrain mtu asiye na ujuzi wowote akazifanya.

1.Mnunulie mashine kubwa ya kufua, afue nguo za watu wa mtaani wanaowazunguka.

2. Mnunulie vifaa vya usafi, mtafutie tender za usafi maofisini na wasaidizi wawili kwa kuanzia.

3. Mfundishe kutengeneza bidhaa simple za viwandani zenye matumizi ya kila siku kama sabuni, spices, etc.

4. Wadau wataongeza.......
 
Jinga lingine hili, so mke wako awe na KAZI ya kufua nguo za mtaani na kufanya usafi kwenye megheto ya watu ? Kumbafu Kabisa
 
Ujuzi ni kulea watoto, kufanya usafi na kukupikia.
 
Jinga lingine hili, so mke wako awe na KAZI ya kufua nguo za mtaani na kufanya usafi kwenye megheto ya watu ? Kumbafu Kabisa
Kukaa bila kazi nayo ni kazi nyingine. An iddle mind is the workshop of the devil. Kama hajasomea ujuzi wowote akawa proffessional anaweza fanya kati ya hizo akatengeneza kipato chake.
 
Kwaimba wewe umeshindwa kumtimizia mahitaji yake?
 
Unaweza usishindwe lakini unataka kunambia kwamba kazi ya maisha yake yote iwe ni kulea watoto na kuosha vyombo tu,(kazi za nyumbani) Hata biblia haisemi hivyo mkuu.
Your wife can be productive too.
 
Mfungulie frem ya vitu vya uzazi na watoto, mapampasi, wipes, pads, na vitu kama hivyo.
 
Back
Top Bottom