Ebana kipindi cha hivi karibuni nimejikuta nimemaliza mwezi mzima bila kuona kina mama wengi wa mtaa wa pili wakipita wamebeba maji, nikahisi labda wamejiunga na DAWASA.
Ebana kumbe sio, ni...
Habari zenu wana JamiiForums.
Maisha yanaweza kuwa magumu kwa sasa, na huenda malengo yako makubwa ya kifedha bado hayajatimia. Lakini kumbuka, asilimia kubwa ya mambo unayoyaona ya kawaida kwako...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Watu wengi wanaposikia neno jasusi, mara moja hufikiria bunduki, mavazi ya siri na filamu na riwaya za upelelezi za Watibeli. Lakini katika maisha ya kawaida...
Dunia inavituko sana ni kawaida kuambiwa morocco imeendelea sana ila cha ajabu vijana wao, wamama na hata wabibi wako bize kukimbilia ulaya
Kuna video ina-circulate inaonyesha vijana, wamama, na...
Kuna mtaa nipo hapa nimekuja kumtembelea ndugu yangu ni mgonjwa, sasa bana jirani hapa Kuna kanisa la WALOKOLE, mda mwingi wanapiga maombi ninaweza kusema ni ya kelele sana, zimekua kero kwa...
Ujambazi / wizi wa mabavu - Kupora watu mali zao kwa mabavu
Tamaa na ubinafsi,
Uzinzi yakiwemo madhara yake kama kuathiri uchumi na magonjwam
Matatizo ya ndoa - Kuchepuka, kukosekana amani...
Assume binti mdogo kabisa hana chakula wala pakulala mwisho wa siku anajiingiza kwenye umalaya apate hela ya kula ili apate kuishi unajiuliza wazazi wa huyu mtoto wako wapi?
Hakika kuna mtu...
Habari wanaJamii,
Muajemi anashinda vita, kabomoa makambi mengi ya mmarekani - sawa na kumfukuza Uarabuni, na hakuna nchi ya kiarabu yaweza pambana nae.
Pia itikadi zake za kutaka waarabu...
Katika harakati zangu nimekuja kugundua wamatumbi wengi ndo ambao tunawazia ajira tuu..
Hivi kwa tathmini zenu ndogo hapa Tz tuna jamii za waarabu na wahindi wengi na wanafamilia huku kwetu for...
Habarini wakuu..
Siku za hapa karibuni kumekuwa na mambo ya ajabu ajabu yanayotembea sana mitandaoni kuhusiana na hawa machawa.
Kuna sakata la yule wa kuitwa Doto Magari kusambaa kwa taarifa...
Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON.
Magaidi ya CHADEMA yanaweza...
Kwanza kabisa tuelewe ndoto ni kitu gani. Huwenda ikawa si jambo geni kabisa kwa wengi.
Ndoto ni nini?
Ndoto ni mfululizo wa matukio, mawazo, hisia na uzoefu ambao ubongo huunda wakati mtu akiwa...
😁 Na cheka kama mazuri ila na mazuri na usije shangaa hii mada wakaweka vipindi kujiona wao ndio wana mjadara.
Fahamu hata wewe unaweza kuunda AI yako ila itafanana na akili yako na IQ kulingana...
Hii video ya machawa waomba pesa kwa matajiri huko Nigeria ni vurugu tupu, haina ustaarabu kabisa na inatweza utu wa waomba pesa, niwasifu machawa waomba pesa wa Tanzania na matajiri wao kwa...
Mazingira tunayoishi daily yanaathiri mwelekeo wa maisha yetu. Tuna watu wengi wana tabia ya kukaa vijiweni muda mwingi. Asubuhi tu saa 2 washajaa sehemu ile ile, mazungumzo yale yale,mpira...
Tajiri au Bilionea kabisa anaposisitiza watu wajali zaidi maisha ya mbinguni ambayo ni ya kufikirika zaidi yasiyo na uthibitisho kuliko maisha ya sasa ya duniani ambayo ni halisi anakuwa...
Ndio. Ifike pahala vijana wetu waelekezwe kozi za kwenda kusoma uko vyuoni.
Maana maumivu yamekuwa ni mengi wakuu.
Zingatia:: Picha hii haina uhusiano wowote na maelezo ya apo juu. Imetokea tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.