Nilichoshangaa kwa wachina kwao hawatumii kabisa hizo wanazotengeneza wanatuletea sisi.Hata mtu wa derived uwezi kukuta anatumia.
Najiuliza ni kwamba wameona hayana ubora kwenye miji yao mikubwa...
Mi na vijana na nakijana nilichobakisha ni aviator ya mungu na maisha tuliyopo nayo wengine wanaona kama mungu ni CCM.
Sasa kitu ambacho kina nishangaza yani AI zilizotengezwa USA ni ngumu...
Hivi ukimwi sio tishio tena?
Ni kweli maambukizi yameshuka au watu wanaishi nayo kishkaji kutokana na madawa?
Mnakumbuka kipindi kile ndugu yako kila mtu amemkimbia kwake na mkimchungulia...
Hii picha inaonyesha kuwa unaweza kumuonesha ubaya kuwa yeye sio mtawala ila kumbuka kama una wajukuu na wanaokuunga mkono mtamalizwa hospitalini na hakuna sehemu inapoweza kuhukumu.
Na hata...
Mwanzilishi wa Neuralink, Elon Musk, anasema kampuni hiyo ya kutengeneza vifaa vinavyopandikizwa kwenye ubongo inapanga kupandikiza vifaa vyake vya kwanza vya kuona vinavyojulikana kama Blindsight...
Naomba kujuzwa. Nasikia wanafunzi UDSM miaka ya nyuma kila mlo ( lunch and dinner ) ulikuwa ni wali, nyama, mboga za majani na maziwa . Hivi nyama niyo ilikuwa ni ya ng'ombe au wanyama pori...
Hawa trafik wa wa morogoro na pwani wanasumbua sana unakuta anaamua tu kukupotezea muda bila sababu.
Kuna siku nilisimamishwa na trafiki nikasimama cha kishangaza badala ya kuniambia sababu ya...
Ikiwa Mungu aliniumba na mapungufu basi sipaswi kulaumiwa kwa makosa ninayotenda maana kama niliumbwa bila hiari yangu na tena huyo Mungu alieniumba aliniumba kizembe nikiwa na mapungufu kibao...
Je ni chague kipi kati ya kuajiriwa au kujiajili.
Kumekuwa na majadiliano kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya watu wanapotosha watu kwamba hakuna mtu aliye ajiriwa ambaye ni tajiri?
Ndugu...
Mtoa huduma wa Vodacom Tanzania Catherine Masanja (kushoto) akimsajilia line ya Lipa mkazi wa Igoma Irene Ernest, kwenye maonesho ya Wakulima katika viwanja vya Nyamhongolo mkoani Mwanza, Kampuni...
Najua hii ni hoja nzito, lakini hebu tujitafakari.
Tunajivunia kuwa taifa la waumini.
Makanisa na misikiti vimejaa.
Lakini je, maisha yetu yanaendana na yale tunayoyaamini?
Kila siku tunaona...
Maisha ya mwanamume si mepesi, na kadiri unavyokua ndivyo unavyogundua kuwa ulimwengu haujali unavyojisikia unajali unachoweza kuleta mezani.
Upendo Wako Unategemea Unachotoa Kama mwanamume...
Mheshimiwa raisi kuondoa ruzuku kwa wachimbaji moja kwa moja bila kutafuta njia mbadala ya kuwasaidia itaenda kudhoofisha uchumi hasa kwa wachimbaji wadogowadogo najua umefanya uamuzi kwa...
Dunia nzima kilio ni ajira tu hii sio kwa bahati mbaya sasa anapotokea mpumbavu mmoja alieajiriwa anatoa ushauri watu wajiajir sijui anatazama ni kwenye fikra zake
Kama ulikua hujui kuwa TABIA YAKO inaendana na HERUFI YA KWANZA YA JINA LAKO wacha nikufahamishe;-
Unaweza ukabisha lakini huo ndio ukweli,
Nakwa kuthibitishia hilo admin wa group hili la...
Leo ni zaidi ya mwezi mmoja na nusu sisi wananchi wa kata za Mkonze na Ntyuka na vitongoji vyake vya Chidachi, GOBA na Shekinah hatupati maji ya DUWASA lakini ni ajabu zaidi kwa uhaba huu wa maji...
Habarini wana jamvi.... natumai mpo wazima kabisa..
Kuna kipindi nilikuwa katika changamoto fulani za kimaisha (ni kawaida katika maisha kupitia milima and mabonde). Sasa, nilipambana sana kuweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.