mbona walitoa tangazo kuwa wangekuwa na marekebisho?Wana JF nani anjua kinacho wasibu NMB maana wanasababisha tudhalilike kwa kushindwa kutumia hela zetu.
Ushauri nihamie bank gani ambayo app yake iko online 24x7 naona NMB wanaweza wakapotezwa hata mtaji wangu.
Hadi lini au kwa wiki ngapi mkuumbona walitoa tangazo kuwa wangekuwa na marekebisho?
Nimefanya bado iko down mkuuUpgrade hiyo App mambo yatakuwa sawa
it's just technical issue. Mambo ya teknolojia hayo.Wana JF nani anjua kinacho wasibu NMB maana wanasababisha tudhalilike kwa kushindwa kutumia hela zetu.
Ushauri nihamie bank gani ambayo app yake iko online 24x7 naona NMB wanaweza wakapotezwa hata mtaji wangu.

Gentleman jana nilikuona samaki samaki ya mlimani city au nilifunanisha ? ulikuwa na toto mbili moja kushoto na moja kulia nyeupe flani hivi kali kinoma nomait's just technical issue. Mambo ya teknolojia hayo.
na ofcoz usiku wa jana nikiwa mlimani city kupata huduma kupitia bank hiyo, nilifahamishwa kua kuna changamoto hiyo na kushauriwa huenda hadi j3 huduma zinaweza kua sawa, na kwahivyo nitumie huduma mbadala.
technocal issue inaweza kuikumba taasisi yoyote ile ya kifedha at anytime gentleman,
ni muhimu kua mstahimilivu na mwenye subra na itapendeza zaidi![]()
Mkuu piga 0800 002 002 uongee na wahusika. Wapo kwenye marekebisho ili kufanya maboresho. Huduma za simbanking zitarejea siku ya J/3. Kwa sasa inakupasa utumie huduma za ATM.Wana JF nani anjua kinacho wasibu NMB maana wanasababisha tudhalilike kwa kushindwa kutumia hela zetu.
Ushauri nihamie bank gani ambayo app yake iko online 24x7 naona NMB wanaweza wakapotezwa hata mtaji wangu.
Gentleman,Gentleman jana nilikuona samaki samaki ya mlimani city au nilifunanisha ? ulikuwa na toto mbili moja kushoto na moja kulia nyeupe flani hivi kali kinoma noma

Gentleman kuwa na toto mbili haimaanishi mambo mabaya GentlemanGentleman,
mambo hayo ni kinyume cha maadili ya umma kwa watumishi wa wananchi, sikua mimi na sihusiki kabisa na ufananio huo![]()
Kwani wewe hujapata mesejiNimefanya bado iko down mkuu
Sikupata kabisaKwani wewe hujapata meseji
Wana JF nani anjua kinacho wasibu NMB maana wanasababisha tudhalilike kwa kushindwa kutumia hela zetu.
Ushauri nihamie bank gani ambayo app yake iko online 24x7 naona NMB wanaweza wakapotezwa hata mtaji wangu.
Ndugu Mteja, leo Ijumaa 31/7/26 kuanzia saa 12 Jioni tutafanya maboresho ya mfumo. Endelea kutumia kadi za NMB kwenye ATM na POS za NMB.Sikupata kabisa
App inafanyiwa maboresho more than 24hrs?Ndugu Mteja, leo Ijumaa 31/7/26 kuanzia saa 12 Jioni tutafanya maboresho ya mfumo. Endelea kutumia kadi za NMB kwenye ATM na POS za NMB.
J3it's just technical issue. Mambo ya teknolojia hayo.