Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Mabasi yaendayo kasi MOFAT route ya Mbagala Kivukoni ni machache watu ni wengi kiasi kwamba tunaopandia vituo vya katikati inakuwa changamoto sana kwetu, waongeze mabus wanatutesa sana.
1 Reactions
6 Replies
106 Views
Mstari Mkuu: Yohana 3:3 — "Amin, amin, nakuambia, Mtu asipozaliwa mara ya pili, hawezi kuuona ufalme wa Mungu." Utangulizi Watu wengi hujiuliza swali lile lile ambalo kijana tajiri alimwuliza...
0 Reactions
1 Replies
121 Views
Nawaza kwanini Kwenye maonesho yanayofanyika hapa nchini mfano Nane Nane au Sabasaba, kwanini vyombo vyetu vya ulinzi kama JWTZ au Polisi Nawao wasiwepo kuonesha vifaa na kutoa elimu mbalimbali...
0 Reactions
2 Replies
69 Views
Kuchuchumaa wakati wa kujisaidia choo kunahusishwa na baadhi ya madhara/hasara, hasa kwa watu fulani: Madhara yanayoweza kutokea: Maumivu ya magoti na viungo – hasa kwa wazee au wenye matatizo...
4 Reactions
19 Replies
327 Views
Kama ikia hujui MUSEVENI AMESEMA NINI KUHUSU YESU wacha nikufahamishe;- Katika hali isiyo kuwa ya kawaida kuwahi kutokea duniani, Rais wa UGANDA muheshimiwa YOWERI MUSEVENI, Amewashangaa...
4 Reactions
6 Replies
242 Views
Habari, Inaenda wiki sasa huduma za miamala bado hazijatengamaa kwenye swala la kutuma na kupokea hela, unaeza ukatuma hela ikaishia hewani, unaeza ukatumiwa hela ikaishia hewani. Wengine ATM...
2 Reactions
6 Replies
170 Views
Kitendo cha magaidi kuua maelfu ya watu tarehe 29 mwezi October 2025 na hakuna gaidi hata mmoja aliyekamatwa ni chakutisha Nawasihi CAF wafikirie nchi nyingine salama isiyo na ugaidi ili wapeleke...
1 Reactions
2 Replies
114 Views
Nimepata safari ya kikazi kwenda Zanzibar kisiwa Cha Pemba , safari yangu ilianzia Tanga na boti ya Zanzibar 3 safari ilikua ya lisaa ,nilicho jionea Pemba Ina miradi mingi sana ya serikali...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Ndani ya biblia kuna mtu anaitwa Samson Ni jamaa ambaye tangu utoto wake hakuwahi kunyolewa nywele na ilikuwa ndio siri yake kubwa ya nguvu kubwa, Tena za ajabu, Kila jambo ambalo lilifanyika...
1 Reactions
1 Replies
103 Views
Marafiki wakikuita velvet waambie upo na famila beach kwa zena Marafiki wakikuuta kitambaa cheupe waambie upo plaza unacheki movie na wadogo zako. Malaya zako wakikuita zile pubs za tabata...
8 Reactions
16 Replies
211 Views
Tutakuwa waoga mpaka lini Lissu amejitoa kufa kwa ajili ya taifa. Ila Watanzania tuamke ukombozi wa taifa hauj kwa maneno bali vitendo.
5 Reactions
2 Replies
45 Views
Ndani ya JamiiForums, mdau mmoja (anonymous) ameibua hoja mbili zinazofanana kuhusu usafiri wa umma: • Uzi unaodai kuwa bajaji na daladala za Kimara–Matosa zinajipandishia nauli kiholela; • Uzi...
1 Reactions
4 Replies
60 Views
Wakuu hili tatizo la jf kutofunguka liliwakumba jana jioni ilikuaje mpaka ukajua jf haipatikani mi nilikua nataka ku comment kwenye nyuzi flani ya baba mtakatifuu91 jinsi ku comment mara ghafla...
1 Reactions
3 Replies
84 Views
Anonymous
Watu wa Kinga'azi, Kata ya kwembe Wilaya ya Ubungo, kumekuwa na wimbo la vibaka hasa muda wa Alfajiri, wanadhuru sana watu wanaokwenda kazini na Wafanyabiashara. Viongozi wa Serikali ya Mtaa...
0 Reactions
3 Replies
104 Views
Anonymous
Aisee Vituo vya kusubiria Mabasi ya Mwendokasi ya Kimara vingi ni vichafu sana kile cha pale DIT, pananuka harufu ya haja kubwa kabisa, zile njia ya flying over ya Kimara ndio hazifai.
0 Reactions
2 Replies
76 Views
Nanenane ni siku ya wakulima kuonyesha bidhaa zao za kilimo, ikiwemo teknolojia za kilimo ambazo zitawasaidia wakulima kuongeza ufanisi katika kilimo. Lakini siku za hivi karibuni, maonyesho haya...
2 Reactions
5 Replies
136 Views
Wanajifanya hawajui kinachoendelea Instagram kuhusu trends za tiktok wanajifanya hawaitumii ni ya watoto mara wengine wanasema ni ya ma shoga...wakati kiuhalisia tikTok Shop ni moja ya majukwaa...
19 Reactions
86 Replies
833 Views
Maisha yamenifundisha jambo moja. Mtoto asiyetembea husema mama yake ndiye mpishi bora. Vivyo hivyo kwenye maisha. Ukikaa sehemu moja kwa muda mrefu, ukafanya kazi ile ile kwa miaka mingi...
10 Reactions
10 Replies
228 Views
Hii nafasi ya ku judge mikoani inaongoza sana.Ndio maana ngumu kutoboa au kufanikiwa kwa asilimia fulani. Mikoani mtu anaweza kujionesha yeye ni nafasi gani,wewe utakuwa hivi au wakupangie hivi...
2 Reactions
11 Replies
165 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…