Kirusi... mara nyingi tunaposikia neno kirusi, tunafikiria maradhi
Kirusi ni maambukizi ambayo huingia mwilini na kuanza kuharibu taratibu, chini kwa chini(ma Doctor kama nakosea nisahihisheni)...
Wiki hii imenibidi nipande daladala baada ya gari langu kupata hitilafu ndogo. Sasa katika safari hizo za kila siku, kuna jambo moja limenivutia sana.
Karibu kila daladala niliyopanda, nilisikia...
Mwanasiasa wa New Zealand, Jo Galer, amewashangaza na kuwaacha wengi midomo wazi baada ya kujiunga kwa njia ya mtandao (zoom) kwenye mkutano mzito wa kikazi akiwa bafuni, huku nguo zake za kufua...
Mimi ni mmoja wa wananchi ambao tumefuatilia tangazo la Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuhusu uuzaji wa viwanja katika eneo la Malalua-Mlangalini, Halmashauri ya Wilaya ya Arusha...
Wewe usiyeamini Mungu kipi kilikufanya uamini hakuna Mungu..? Na wewe unaeamini Mungu yupo ni kipi kilikufanya uamini kuna Mungu?
Toa mtazamo wako na sababu...!
Kuna mda mambo yanakusonga eeeh!! Ngoja nikupe dawa
Kama wewe ni mwanaume mtafute mwanamke , kama wewe mwanamke mtafute mwanaume
Tena umlipe , ila mtu ambaye asiyekujua alaf kuwe na watu pembeni...
Nimekuwa nikukutana na picha za watumishi wa sherikali hasa wakiposti maeneo mbalimbali ya nchi ya vijijini na changamoto za miundombinu zilivyo
Na kuna wengine wanafikia kusema huko mimi siwezi...
Habari wadau , poleni na majukumu !Nauliza kama naweza kupata fundi wa kudesign au kutengeneza madirisha ya Louver ni mtindo zamani kidogo ! Umekuja kufunikwa na hizi aluminium za kuslide...
Asilimia Zote 100 Kuwa Rais Wa Tanzania Na Nitawashangaa Mno Ninyi Wasomi Msipompigia Chapuo Na Kumchagua". Haya Si Maneno Yangu GENTAMYCINE Bali Nimenukuu Maneno Ya Mke Wa Waziri Wa Utalii Faraja...
NI declare kwamba nini ni Mjaluo Kwa asili kabisa, wazazi wote pande mbili, licha ya kuzaliwa na kukulia mkoa wa morogoro, mzee wangu alikua mtumishi wa serikali kazunguka sehemu nyingi Morogoro...
Mfano wengine hapa tulipo tumebakiza miaka 30 na kitu kufika 70 kama pumzi itakuwepo
Kwa wale ambao tuna option za kurudi bush au kubaki mjini, je maisha yapi ni mazuri yenye nafuu ukifika 70?
Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Prof. Palamagamba John Kabudi, ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa hatua...
Ningependa kutoa kero yangu kuhusu hali ya vitambulisho vya Taifa vinavyotolewa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kufutika kwa haraka mno, na hii ni kwa vitambulisho vinavyotolewa...
Mamlala husika kwanini vitambulisho vya nida mnavyotengeneza hufutika maandishi yake, shida ni nini?
Mbona vitambulisho kama leseni za udereva, kitambulisho cha mpiga kura havifutiki maandishi...
Wakuu kwema,
Umepita muda wa mwezi mmoja tangu nijiandikishe nida ili kupata kitambulisho cha Taifa, sijatumiwa sms na NIN na kawaida wanasema inachukua wiki 1 tu kutoa namba
Mwenye kujua jinsi...
Hii salamu imenishtua sana nilipokutana nayo asubuhi ya leo! Huyu rafiki yangu yeye ni Mholanzi kutokea huko bara la waliostaarabika, yan yeye hufanya shughuli katika moja ya taasisi za kimataifa...
Kutoka kwa Jongwe Misuti Taita
"Wanga kule na huku nawapa dole la kati"
Huu ni mstari kutoka kwenye wimbo wake unaoitwa Moto Chini.
Leo ameonekana kutoa ujumbe kwa mashabiki wote wanaopinga au...