Leo, Agosti 04, 2026, Ubalozi wa Denmark nchini Tanzania umetembelea ofisi za JamiiAfrica jijini Dar katika ziara ya kikazi na kuimarisha mashirikiano.
Denmark imekuwa mmoja wa wadau wa maendeleo...
Mimi ni mfanyakazi wa mradi wa umeme (neg 2 lot 1b Dodoma to Kilosa ) mradi huu amepewa mkandarasi mkuu Tibea ltd (mchina) ambaye naye ameajiri Taasisi ya Tabono ltd ambayo ndio inahusika na...
Elimu ni muhimu sana kwenye maisha mengine nje ajira
Kuna rafiki yangu kalipa deni la 4m kwa kwasababu alishindwa kujua kuna kitu kinaitwa bank statement kinaweza Kuthibitisha malipo yote
Lakini...
Kuna hii kampuni inajiita adsblog unatumia link unajiunga lakn Kuna fee 14,500. Kazi Yako ni kufundisha wageni kiswahili online. Kuna aliyewahi kusikia kuhusu hl au utapeli?
The upcoming opening of a Plaza Premium Lounge in Dar es Salaam marks long-term commitment to elevating Tanzania’s aviation, tourism, and travel ecosystem.
Huku kuna kero ya maji taka Mitaa ya Kariakoo imekuwa changamoto sana yaani pananuka sana (kinyesi) maji yametapakaa sana hasa mitaa ya Mkunguni /Tandamti / Sikukuu/ Congo na mengineyo na ikiwa ni...
1 Timotheo 2:9
9 Kadhalika, nataka wanawake wajipambe kwa heshima na kwa busara. Mavazi yao yawe nadhifu, si kwa kusuka nywele, kujipamba kwa dhahabu, lulu na mavazi ya gharama kubwa,
na hili...
BINTI ATOKA KIGOMA ADAI KUVULIWA NGUO NA KUCHOMWA PASI YA MOTO NA MWAJIRI WAKE ARUSHA
Binti anayetokea mkoani Kigoma amedai kufanyiwa ukatili mkubwa na mwajiri wake, Nema Mushi, mkazi wa...
Kwanini waendesha Bodaboda nchini hawatii mamlaka na kufuata sheria?Je Jeshi la polisi limeshindwa kabisa mbinu??
Kama kichwa cha habari nasikitika sana kuona vijana wanaisha kwasababu ya kukosa...
Madhara ya kula ugali kupita kiasi:
Ongezeko la uzito – ugali una wanga mwingi (calories nyingi), hivyo kula kwa wingi bila mazoezi kunaweza kusababisha unene.
Sukari kwenye damu – ugali una...
Tokea siku ya juzi kuna changamoto kwenye app yenu ya NMB mkononi, kutoa pesa ni shida na nimekuta nimeandikiwa deni ndani ya account yangu yaani (-Kisha kiasi ninachodaiwa) jambo ambalo sijawahi...
Serikali ya Samia acheni watu wafanye siasa kwa amani vitisho vyenu sio tija bali mnaendelea kujenga chuki zaidi.
Shauri zenu
============
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Mkazi wa Kitongoji cha Ganana A, Kata ya Ganana, Wilaya ya Hanang mkoani Manyara, Yasinta Amnaay (68), anadai eneo lake lenye ukubwa wa ekari moja na robo lilipimwa na kuuzwa bila kushirikishwa...
Nimemsikiliza huyu mwandishi WA habari kwenye moja ya mahojiano yake anasema kwa hali iliyofikia CCM kwa sasa haiwezi kufanya mageuzi kwa sababu sio tena chama cha kisiasa
Imejiambatanisha na...
Wana-JamiiForums,Tunaishi kwenye kizazi cha "Angalia nini ninafanya." Kila mtu anataka kuonekana. Watu wanapost mafanikio, safari, hadi migogoro ya kifamilia. Lakini leo nataka tuongelee Usiri wa...
Kirusi... mara nyingi tunaposikia neno kirusi, tunafikiria maradhi
Kirusi ni maambukizi ambayo huingia mwilini na kuanza kuharibu taratibu, chini kwa chini(ma Doctor kama nakosea nisahihisheni)...
Wiki hii imenibidi nipande daladala baada ya gari langu kupata hitilafu ndogo. Sasa katika safari hizo za kila siku, kuna jambo moja limenivutia sana.
Karibu kila daladala niliyopanda, nilisikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.