Kuna mambo mfikishieni huyu mwaipopo wenu wa CCM.
Umewekwa kwenye radar siku jichanganye ufike somalia ndio utajua kuwa kuna watu wanaishi jangwani.
Mwaipopo inasemekana ni moja ya watu...
Zuchu anajifungua alafu pesa zunatunzwa USD hospital.
Baada mda stive Nyerere anaita wanahabari kama ana mfokea na kusema hizo pesa zisaidie hospital.
Unashangaa raisi anasema wamefanya vizuri...
"Vyombo vya habari vya Magharibi vinatumia dola 800 kwa video moja kuweka umwamba wa masimulizi barani Afrika. China imefanya mengi, lakini imesema kidogo sana."
Hayo yamesemwa na mwandishi wa...
Ulimwengu wa voice notes unatawala mawasiliano ya kila siku kwa sababu unampa mtumiaji uwezo wa kufikisha hisia na lafudhi halisi ya maneno, jambo ambalo ni gumu kupatikana kwenye herufi baridi za...
Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara. Waajiriwa wengi wanawatazama waliojiajiri kwa jicho la wivu. Wanaamini kujiajiri ndiyo uhuru wa kweli. Unaamka muda unaotaka, unafungua biashara muda...
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande
Dar es Salaam– Sekta ya michezo ya kubahatisha nchini Tanzania imepiga hatua kubwa baada ya kutangazwa rasmi kuhusu ujio rasmi wa Bahati Nasibu ya...
Dar es Salaam–Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava, Omary Ally Mwanga, anayefahamika kwa jina la kisanii Marioo, ametambulishwa rasmi kama Balozi wa Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania. Ushirikiano huu...
Yule hakuwa binadamu wa kawaida aisee.... Tangu tunaanza safari kutoka Mwenge, mwili wangu wote ulikuwa unasisimka..
Mara nyingi kwenye mwili wa binadamu yoyote yule kama upo sehemu isiyo salama...
Sio muelezaji mzuri ila ukifatilia jinsi mpaka nchi iliyokuwa na umoja na kuharibika vibaya sababu ya dini, ukabira, rasilimali uwezi kukosa Yugoslavia.
Leo nasikia sijui kanali fulani anasema...
Wakuu anayetaka hii nguo aje hapa kigogo aichukue.
Nilinunua visiwanI kule Kizimkazi,
ila hapa mjini lazima nikutane na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia, Siyo wanaume tu, mpaka...
Mkazi wa Sinza Mori, Janeth Ndimbo (30) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka manane ya usafirishaji haramu wa binadamu.
Amefikishwa mahakamani hapo leo...
Leo nimeamua kuanza kuandika mawazo yangu kuhusu safari ya kujenga maisha ninayotamani.
Sina uhakika nitafika mbali kiasi gani, lakini najua jambo moja: miaka ijayo nataka niweze kurudi hapa na...
Mwanzilishi wa Neuralink, Elon Musk, anasema kampuni hiyo ya kutengeneza vifaa vinavyopandikizwa kwenye ubongo inapanga kupandikiza vifaa vyake vya kwanza vya kuona vinavyojulikana kama Blindsight...
We live in the same existence but share different realities
Wewe ulijuaje dhumuni lako la kuwepo hapa duniani?
Tukachana na dhana za nature eti kuzaliwa, kuzaliana na kufa.. Kuna kitu ndani yako...
Inasikitisha sana kuona kijana hujiwezi kiuchumi, lakini unalazimisha sherehe ya harusi na kuanza kusumbua watu na kadi za michango. Kibaya zaidi, wengine tayari mmeshajenga familia...
Hakuna kitu kikubwa kama biashara ya makazi na fremu. Embu fikiria unapanga nyumba kodi laki 5 hapo hapo una fremu mfano ipo sehemu ya mzunguko kodi laki 5.
laki 5+5= milioni 1
Mfano hiyo pesa...
Hii ni kwa watafutaji na wazee wa fursa.
Leo tumalize mzizi wa fitina,ni Mji gani Kati ya Kahama na Tunduma uko vizuri kiutafutaji?
Tunduma-Ina wakazi zaidi ya laki 2 na ni Mji wa mpakani...