Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hawa wachina sasa wameiacha dunia mbali sana. Mambo wanayotafanya Marekani wanaogopa sana. Ukiacha lile jengo lao refu sana ambalo limejengwa hewani halafu linaelea. Wana train ambayo hakuna kitu...
5 Reactions
15 Replies
136 Views
Salaam. Wakuu hii video mpaka imenifanya nitafakari sana akili za hawa mapolisi kama ni wazima kichwani au vipi. Inasemakana huyo kijana aliingilia msafari wa Mwenge kwa kukatiza akiwa amebeba...
4 Reactions
39 Replies
555 Views
Nahitaji mkopo wa million 3 nipo na kiwanja 20×20 kipo kigamboni naomba miongozo Note: isiwe hizi microfinance
6 Reactions
131 Replies
5K Views
Nimejikuta nikitoa desa kwa mtu aliyeomba kuniuliza swali, ambalo yeye alidhani linaweza kuonekana la kijinga kidogo, lakini mimi sikuona hivyo, badala yake niliona haja ya kubadilishana uzoefu...
1 Reactions
0 Replies
61 Views
Hali ya taa za barabarani ambazo zimeungua kwa kiasi kikubwa katika maeneo mbalimbali ya mkoa huu. Tatizo hili limekuwa kubwa hasa kwa watembea kwa miguu wanaotumia barabara nyakati za usiku...
1 Reactions
1 Replies
143 Views
Kiukweli mi naona kwenye swala la maendeleo ya barabara katika nchi hii serikali imeshindwa kabisa. Barabara nyingi nchini na muhimu kwa ustawi wa uchumi wa nchi ni mbovu kupita maelezo na cha...
0 Reactions
5 Replies
71 Views
Kuna siku unachoka. Unakaa kimya, unajiuliza: "Labda bora nirudi nyumbani. Niridhike na buku buku za kula tu kuliko kuendelea kupambana kila siku." Lakini ukikumbuka safari uliyotoka, unagundua...
2 Reactions
4 Replies
68 Views
Mimi ni mtu ambaye naona aibu sana kuomba msaada. Sijawahi kuzoea maisha ya kutegemea kwamba siku nikikwama nitampigia mtu simu aniokoe. Kwa namna nilivyojijenga, naona kuomba msaada ni hatua ya...
13 Reactions
46 Replies
606 Views
Maisha yanapokuwa magumu, kila mmoja huwa na maoni yake. Unaweza ukawa unapitia changamoto za biashara, mahusiano, kazi, au hata hali ya kifedha. Wakati mwingine unaweza ukahitaji msaada wa fedha...
0 Reactions
1 Replies
131 Views
hii itakusaidia sana hakika unaplan B utakayoitumia pindi plan A itakapofeli, na usimuamini yo-yo-te yule. #You either win with us or you watch us win
6 Reactions
17 Replies
183 Views
Mh Waziri Dkt. Gwajima D Watoto umri chini ya miaka 14 wanashiriki ngoma zisizo na maadili. Kama wizara yako hatachukua hatua sitahiki tutegemee taifa la machoko baadaye
3 Reactions
23 Replies
347 Views
Nimeona Rais wa Kenya anasema hata asipo shinda ataongezewa kura na malaika hapa kwetu imekaaje
0 Reactions
0 Replies
46 Views
Ukizingatia kwamba hii ndio njia kuu ya kuingia jijini, ila ukiangalia huduma za msingi za kijamii zinazopatikana huu ukanda ni vichekesho! Kimara hakuna maduka yeyote ya maana, hakuna malls...
5 Reactions
43 Replies
443 Views
Wakuu, mliotembea na kuyajua mambo mbalimbali hasa ya kijeshi nijulisheni, maana kuna mjeshi mmoja toka Marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini...
7 Reactions
125 Replies
19K Views
Yes kama ulivyosoma bei ya kumpa fundi bei ya kumpa bos ni tofauti kabisa. Fanya utafiti kwanza kabla ya kununua mfano misumari boss kilo 4000 kwa fundi 2500 na kuendelea (huwez ambiwa kirahisi)...
0 Reactions
0 Replies
63 Views
Jana usiku saa 5 nilikuwa nashindwa kutuma picha, kila nikituma inaniandikia ''Retry'x Je, kuna mtu anayepata ujumbe wa "Retry" anapojaribu kutuma picha kupitia WhatsApp? Watumiaji wengi...
3 Reactions
5 Replies
161 Views
Katika wapangaji wazuri ni wapemba maana kwenye kodi wanalipa kwa wakati. Ila najiulizaga na nimeona sana sehemu nyingi,Mpemba akipanga nyumba yako au fremu na kama kaipenda. Anakufikia dau...
2 Reactions
3 Replies
171 Views
Baada ya kusafiri mara kwa mara kwa safari ndefu ambazo zinahitaji “Two Drivers” huu ni ushauri wangu kwa LATRA kwa njia za Dar - Mwanza Dar - Bukoba Dar - Tunduma Dar - Kigoma Dar - Mpanda Na...
9 Reactions
20 Replies
259 Views
Kwa masikitiko makubwa ninapenda kuwataarifu msiba wa mwana JF mwenzetu bwana Straton Mushi aliyefariki mapema wiki hii baada ya kuugua muda mfupi. Mwili wa marehemu uliagwa Jana nyumbani kwake...
45 Reactions
255 Replies
34K Views
Anonymous
Mara kadhaa nimeona na nimesikia stori za baadhi ya maafisa wa LATRA, hasa jijini Dar es Salaam, wanavyotekeleza majukumu yao ya kuwakamata madereva wa bodaboda na Bajaj. Kinachonishangaza ni...
1 Reactions
1 Replies
126 Views
Back
Top Bottom