Trubarg
JF-Expert Member
- Jan 8, 2020
- 4,398
- 7,252
Kuna hili sekeseke la HALMASHAURI kupima na kuuza viwanja sehemu mbalimbali za nchi. Viwanja hivi vinauzwa kupitia mifumo mbalimbali ikiwemo Tausi.
Ni kweli viwanja hivi vimepimwa lakini changamoto kubwa ni kwamba baadhi ya maeneo wale locals wanakuwa kama hawajashirikishwa au kama wameshirikishwa maoni yao hayakuwekwa kwenye consideration.
Utaweza kujua hilo siku unaenda onyeshwa mipaka yako. Kuna baadhi hukumbana na changamoto Kwa kukuta zile bicon zimetolewa na hata kuzuka Kwa ugomvi au sintofahamu.
Mimi ni mmoja wa waadhirika ambaye nilikumbana na changamoto hii nilipoenda kuonyeshwa kiwanja changu nilichomaliza malipo. Kwa jinsi hii ata uendelezaji itakuwa wa shida co mtu unawezaje kwenda kuweka msingi katikati ya shamba la migomba au mbaazi au mahindi ya MTU.
Mimi nashauri iwapo HALMASHAURI ziinataka kupima na kuendeleza miji basi locals washirikishwe vizuri na pia wasitangaze viwanja kwenye maeneo ambayo wanajua dhahiri kuna mgogoro.