Wana Jamii From!
Bila yakupoteza muda naomba kufahamu jambo moja zito ambalo kwa uelewa wangu nimeshindwa lipatia majibu!
Hivi inawezekana vipi Mtumishi wa Mungu Padre awe mwanajeshi tena...
Salaam wakubwa.Ushauri unaombwa kwa mwalimu wa tgts E ambaye nina bachelor ya Education in Adult Education and community development.
Kwanza naomba kujua iwapo bachelor hii inakubali...
Niseme tu mimi ni single father wa binti mmoja , japo nilisha sema nawakiume mkubwa ila ni stori ndefu mpaka kufanya maamuzi ya kubaki na binti yangu tu.
Binti yangu nilianza kukaa nae alipo...
Hii hali inaanza kutisha. Siku hizi unakutana na mtu, hasa mdada mrembo, unampa marks zote. Lakini akitabasamu unakuta ana pengo au meno yana matatizo yanayoonekana wazi.
Hii inanifanya niamini...
Guys kuna madam ni single mum mtaani anafanya kazi shirika flani. Huyu dada ni wale masingo mum waliotulia kivyao, sasa mazoea hapa na pale nikapita nae hadi sasa mwaka wa 3.
Malavidavi ananipa...
Hivi karibuni ameibuka mtu mmoja nchini Kenya anayefahamika kama Geoffrey Mosiria. Huyu ni kiongozi wa Serikali ya Kaunti ya Nairobi ambaye amejizolea umaarufu mkubwa kutokana na namna...
Utasikia madereva wote wasio na vigezo warudi shule
Au ni marafuku dereva boda kupakia abiria wawili
Hapo wiki za kwanza hamsha hamsha lake utatamani ukimbie nchi polisi kila kona watu...
Rais wa Jamhuri ya Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amewasili jijini Dar kwa ziara rasmi ya siku mbili kuanzia tarehe 5-6 Agosti 2026, kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Niulize swali.
Ni marafiki wangapi wa zamani uliokuwa unaamini hamtakuja kuachana, lakini leo hii hata salamu hampeani? Kabla hujawaona wabaya, hebu fikiria jambo moja. Inawezekana hawajakusahau...
1. Uhusiano wa CCM na CHADEMA kama Picha ya Mapambano ya Kufa na Kupona
Uhasama wa kisiasa kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umefikia hatua ambapo...
Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Zuber bin Ally amejikuta katika hali ya aibu
Ni baada ya wageni waalikwa katika harusi ya mwanaye kuanza kuondoka baada ya mpishi na waandaazi kuchelewasha chakula...
Man Lee Hee ambaye anadai yeye ni Yesu aliyekuja kwa mara ya pili ametiwa mahabusu kuanzia mwezi wa sita kwa makosa ya kuharibu uchaguzi wa rais na kwa kosa la kuwaandikisha waumini wake zaidi ya...
Katika pitapita zangu mjini hapa, nimegundua kuwa kuna kero moja inayofumbiwa macho na Manispaa ya Moshi Mjini, masoko ya hapa Moshi mjini, hususani soko la M'buyuni na Soko la Manyema, yana...
Kuna mradi wa Usalama Barabarani unaitwa SMART TRAFFIC MANAGEMENT ambao unahusu kufunga Camera za usalama kwenye barabara kuu zote za Tanzania. Lengo ni kupunguza ajali na makosa yote ya usalama...
Swali: mbona watu husahau umuhimu wa watu na kuvipa vitu umuhimu mpaka waafikiapo mwisho wa safari?
Watu wengi wakifika mwisho wa maisha hasa wazee.. Huwa na tabia flani hivi za kuthamini sana...
Siku moja tulikuwa katika kikao chenye wajumbe kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya shughuli iliyokuwa irushwe na vyombo vya habari. Mapendekezo yakaanza kutolewa kuhusu vyombo vya habari...
Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wameelezwa kuwa watanufaika na Shilingi Bilioni 1.2 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu kwa ajili ya...