Mbeya Kuna Sehemu wanauza vitabu?

Mbeya Kuna Sehemu wanauza vitabu?

Lile duka kubwa la vitabu mtaa wa Jacaranda lilifungwa! Kama ndiyo hivyo sishangai mmezalisha vikina Lucas Mwashambwa.
 
Mimi binafisi najua sehemu wanauza magimbi,ndizi na viazi mbatata pekee labda na karoti pekee. Kuhusu vitabu sijui mimi
 
Back
Top Bottom