Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kile kilichoanza kama nyufa ndogo kwenye lami, sasa kimegeuka kuwa kero ya kila siku kwa watumiaji wa barabara hii. Kila kukicha, mashimo mapya yanaongezeka, lami inazidi kumomonyoka, na kuziacha...
1 Reactions
14 Replies
145 Views
Kuna video inasambaa akimuonyesha kada wa ccm Bakari akiwa na majeraha makubwa mwilini inasemekana alitekwa na wasiojulikana amepigwa sana yaani hadi vidonda Kisa alimtetea nchimbi 😔 Soma Kada...
5 Reactions
7 Replies
153 Views
BINTI; SIO LAZIMA MAMA MKWE AKUPENDE. anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Wakati nampeleka Mchumba wangu nyumbani kwa mara ya kwanza. Tukiwa Dodoma nilimwona akiwa katika hali ya hofu na wasiwasi...
4 Reactions
7 Replies
246 Views
Ukitaka kuamini ilo angali ikitangazwa nafasi ya kaz au fulsa yoyote yakupata pesa watu wanavyofulika
3 Reactions
8 Replies
105 Views
Binafsi napenda sana watanzania tufanikiwe na huwa najisikia vibaya watanzania tunavyosota , bongo ngumu sasa nashare experience yangu nA nyie, moja fahamu mimi ni dealer wa usifirishaji wa nafaka...
13 Reactions
30 Replies
428 Views
Kumbuka mtihani umetunga mwenyewe, ukaufanya mwenyewe, ukasahihisha mwenyewe umepata marks za juu, saivi unatafuta marafiki zako wachunguze kwanini umefaulu sanaa?😄😄hii dunia banaa! Soma Rais...
0 Reactions
2 Replies
75 Views
Anonymous
Kuna changamoto ya ucheleweshaji wa majibu kutoka DAWASA kwa barua za maombi ya ushauri na maoni kuhusu miradi inayofanyiwa Tathmini ya Athari kwa Mazingira (EIA). Barua tunazowasilisha katika...
1 Reactions
3 Replies
62 Views
Naona Watu wengi tumejikita zaidi katika Kumtetea na kumuonea Huruma Sheikh Walid huku tukimuona Mzazi mwenzie ana Makosa. Binafsi napenda mno Mawaidha yake Sheikh Walid japo ni Mkristo kutoka...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
Habari wana JamiiForums,naomba tujadiliane kwa pamoja, nauliza, Je mitandao ya kijamii imekuja kuongeza stress au imekuja kupunguza stress kwa watumiaji?, Karibu utuambie
0 Reactions
0 Replies
34 Views
TAARIFA YA KERO YA WIZI ENEO LA MACHINJIONI – KATA YA TANGINI, MANISPAA YA KIBAHA Ndugu viongozi na wananchi wenzetu, tunaomba kuwasilisha kero kubwa ya matukio ya wizi yanayoendelea katika eneo...
1 Reactions
2 Replies
67 Views
Kwa kawaida Watu au waafrica tunapozungumzia maendeleo tunaongelea vitu kama Ajira,Miladi wawekezaji kutoka nje,mikubwa,Au kugundulika kwa rasilimali kama mafuta,dhahabu au gesi . Lakini kamwe...
3 Reactions
6 Replies
111 Views
Trilateral Mecca Defence Agreement — rasmi zaidi ikiitwa Mecca Joint Defence Agreement — ni mkataba mpya wa ulinzi wa pande tatu uliosainiwa tarehe 7 Agosti 2026 huko Makkah, Saudi Arabia, kati...
0 Reactions
9 Replies
185 Views
Kamwe hii timu yangu haiwezi chukua ubingwa mbele ya timu ya Yanga, wana malengo mabaya sana , hatuna plan na tuna matajiri oya oya na viongozi wahuni takataka🚮 Note ..endeleeni kushabikia...
1 Reactions
8 Replies
135 Views
Udereva wa roli? Operator? Au ni fani gani ina thamani but vijana wengi hawana muda nayo?
6 Reactions
36 Replies
435 Views
Je wanajukwaa dunia hii ipo au ipo kichwani kwangu tu Ile unatoka asubuhi unaenda mishemishe unarudi jioni home, baada ya kupoa kidogo unaelekea mahali fulani kama kamgahawa unaagiza gahawa, Una...
5 Reactions
14 Replies
156 Views
MAKANISA MAREKANI YANAFUNGWA KWA KUKOSA WAUMINI. Makanisa saba ya Katoliki katika Jimbo la Crookston hayatakuwa tena na Misa ya Jumapili. Askofu Andrew Cozzens alisema kuwa huu ni mmoja wa...
2 Reactions
6 Replies
142 Views
LAWYER POLICEMAN HAKIMU hadi leo kwangu ni trash, ingawa ni kazi kama kazi nyingine na zinalisha watu na familia zao
2 Reactions
7 Replies
92 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akifungua Mkutano wa Wadau Kuhusu Udhibiti wa Taka za Plastiki Nchini, kilichofanyika Ukumbi wa...
4 Reactions
4 Replies
104 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo pamoja...
0 Reactions
1 Replies
61 Views
Mfanyabiashara Mohamed Dewji amezungumzia suala la mchango wa shilingi bilioni 30, huku baadhi ya watu wakitoa maoni mbalimbali kuhusu hatua hiyo. Wakosoaji wamemkosoa kwa kauli kali, wakidai kuwa...
1 Reactions
0 Replies
62 Views
Back
Top Bottom