Yuko wapi huyu Mwana Harakati Mkatoliki....??!!
Alibamba sana katika kuikosoa Serikali enzi zake akiwa Askofu Mkuu Msaidizi wa Jimbo Kuu La Dar Es Salaam?!!!
Alipenda kubamba kupitia BBC...
Hii ni thread maalum kwa jambo lolote ambalo hulijui.!
Kwenye thread hii utauliza wenye kujua jambo hilo watakujuza......,
(Mfano»
Je.? kwa nini wanaume ndo wanakufa halaka kuliko wanawake...
Nimesikiliza hotuba ya Askofu Sylvesta Gamanywa katika kongamano la wachungaji wa Wapentekoste wa Wimbi la Mitume na Manabii na wa CAG
Ninaandika haya si kama mwakilishi wa upande wowote, bali...
Mkaguzi wa Polisi Kata ya Mwaya, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, Mkaguzi wa Polisi (INSP) Masengi Marwa, ametoa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Mwaya kuhusu matumizi...
Mnakumbuka tukio la majambazi kuvamia pugu sec mwaka 2003 hadi kupelekea mauaji ya mwanafunzi mmoja?
Wenye stori kamili tunaomba mtupatie
Rest Easy Mwamba
Res
Nakumbuka nilihamishwa kikazi kipindi fulani na kukaa katika wilaya ya Arumeru, halmashauri Meru, aloo sinawahi kukutana na sampuli la kabila hili la wameru aiseehawa jamaa kiboko!...
Yaani...
Wakazi wa Salasala (kata ya Wazo, Wilaya Kinondoni) tunapata sana adha ya maji, DAWASA wamezidi kuwa na majibu ambayo hayaridhishi.
Tunakaa mwezi bila maji na wakifungulia yanakuwa hayana...
Una maoni yapi?
Nukuu ya Mwandishi mkongwe Salim Said Salim
"Mfumo wa elimu ubadilike. Wenzetu kama China na wapi wanafundishwa ustadi wa mambo na maisha na kuwa socially responsible. Sisi...
Kwa muda mrefu wananchi wa Dar es Salaam tumekuwa tukitegemea huduma za mabasi ya UDART kwa usafiri wa kila siku.
Awali, nauli ya kutoka Mbezi hadi Kimara ilikuwa Tsh 500 kwa umbali wa takribani...
Ningekua na uwezo ningefuta kazi askari polisi wote au kuwapa majukumu mengine.
Serikali mnaona rushwa inavyotembea kwa polisi au hamuoni? Na kama mnajua mmechukua maamuzi yapi dhidi yao ...
1. Mtoto wa Raisi
Kuna tofauti kubwa sana ya kuoa mtoto wa Rais na mtoto ambaye mzazi wake amekuja kuwa Rais mbeleni (ni watu 2 tofauti)
2. Nchi tofauti.
Tofauti za kitamaduni,kimazingira na...
Wakuu kuna mjadala nimeukuta facebook sasa nilitaka kujua ukweli wa jambo ukoje
Maana inasemekana wao ili wakupe kazi hawahitaji nida,passport wala kadi ya mpiga kura isipokuwa nguvu zako tu...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, Simon Chibuga Masondole, amesema baadhi ya vijana nchini wameingia katika tabia ya kuiba katika maeneo ya kazi, hali ambayo imeanza kugeuka kuwa utamaduni katika...
Teknolojia ya akili unde (AI) imeendelea kutumika katika maeneo mbalimbali kama elimu, uandishi wa habari, biashara, ubunifu na huduma kwa wateja.
wapo wanaoona akili unde inarahisisha kazi na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka wamiliki wa silaha kuhakikisha wanakamilisha vibali na taratibu zote za kisheria za umiliki wa silaha zao kabla ya Agosti 30, 2026...
Hayawi hayawi yametimia. Baada ya hotuba ya rais wa Rwanda Paul Kagame kwa vijana wake akiwataadharisha juu ya athari ya pombe na hatima ya maisha yao leo naona habari yenye mvuto juu ya kupipgwa...
Hatimaye Ester Noah Mwanyiru mwanafunzi wa sekondari ya Pandahill aliyetoweka 18 May 2023 amepatikana.
Taarifa iliyotolewa na mama yake mzazi inaeleza amepatikana wilayani Mbalizi kwa mama fundi...
Tunaomba viongozi mnaohusika akiwepo mkuu wa biashara mtusaidie please. Serikali inategemea tulipe hizo leseni za biashara ili maendeleo yapatikane. Sasa mtu anakaa na maombi wiki mbili...
Mwaka Fulani nikiwa Dar coco beach, nilibahatika KUMUONA Mukoko Tonombe akifanya mazoezi mepesi nadhani hicho ndio kilikua kipindi katoka majeruhi ya muda mrefu.
Kwa pembeni yake alikuwepo mtoto...