Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanini Hawa, alipodanganywa na kula tunda la mti wa katikati. hakugunduwa kuwa yuko uchi? mpaka alipokula na Adam...? Je... nini kingetokea kama Adam asingekula¡
5 Reactions
91 Replies
672 Views
Nimeona niwashirikishe hili kwa sababu naamini wafanyabiashara wengi humu wana experience kubwa ambayo inaweza kutusaidia wengine. Mimi nafanya biashara ya vifaa vya ujenzi. Kwa kuwa siku hizi...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Vijana ni kama hawaelewi hata walio katika vyama tawala ni basi tuu ila kuna vitu hawakubaliani navyo!
2 Reactions
3 Replies
53 Views
Hii sio kejeli Hii ni wake up call Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.
8 Reactions
27 Replies
365 Views
Wakuu, naomba ushauri kuhusu account nzuri ya kuweka saving 💰 Kwa sasa nina account ya NMB ambayo ndiyo natumia kwa mshahara na matumizi ya kawaida. Nataka kufungua account nyingine maalum kwa...
2 Reactions
7 Replies
276 Views
Anajidai kwamba amelijua jina lake bila kuambiwa, lakini anapomuuliza anamuumbua kwamba walishakutana kabla na akampanga nini cha kuongea mida ya asubuhi kabla ya misa, AIBU, AIBU, UTAPELI!! Ona...
30 Reactions
567 Replies
118K Views
Red-me za sahizi mkuu..!!?,mara ya mwisho Katika moja ya nyuzi zako ulisema unatamani uhasiwe ili usiwe unasimamisha mchi, ukaenda mbali na kuzizodoa nyapu (mbunye) kwamba ni overrated na huoni...
4 Reactions
12 Replies
148 Views
Taharuki kubwa imeghubika jiji la Arusha baada ya mwanamke aliyetambulika kwa jina la Jamila, pamoja na wenzake 11, kuanguka ghafla katika mazingira ya kutatanisha na kuzua gumzo kubwa mtaani...
2 Reactions
35 Replies
377 Views
Hizi kampuni za mikopo online zimekuwa na kero kubwa kwa wakopaji, yaani mtu unakopa laki moja (100,000) unalazimishwa kurudisha Sh 152,000 ndani ya siku 5. Ambayo ni riba ya asilimia 52, Benki...
2 Reactions
11 Replies
787 Views
Kumbuka: mababu zako wako pale kukuongoza, si kukufanyia maamuzi. Wanaweza kukuonyesha: -Shanga. Fimbo. Mto, mlima, au mahali pengine. Vitambaa vya kiroho. Wanaweza kufichua mambo haya...
4 Reactions
7 Replies
106 Views
Tunasiki watu wengi wakiwa na chuki MOYONI,furaha MOYONI,hasira MOYONI,upendo MOYONI,MOYO wa visasi hii imekaaje?
2 Reactions
8 Replies
83 Views
Mimi kama mhanga, nimefarijika na miongozo mipya ya kupima matatizo ya Tezi Dume na kuacha kudhalilisha wagonjwa kwa kuwaingiza kidole katika D2. ## Miongozo Mipya ya Tezi Dume Yafungua Milango...
8 Reactions
26 Replies
398 Views
Mdo 6:3-4 SUV [3] Basi ndugu, chagueni watu saba miongoni mwenu, walioshuhudiwa kuwa wema, wenye kujawa na Roho, na hekima, ili tuwaweke juu ya jambo hili; [4] na sisi tutadumu katika kuomba na...
3 Reactions
4 Replies
75 Views
Nimegundua watu wenye passport hapa Tanzania ndio wenye nafasi kubwa sana ya kufanikiwa kuliko wasio na passport nimeshuhudia mimi mwenyewe na watu wangu wa karibu wakitoboa kirahisi sana wakiwa...
7 Reactions
31 Replies
360 Views
Mwezi uliopita tarehe 29 nilikuwa na safari ya kwenda Tanga, ukizingatia nilikua napasikia sijawahi kufika nikasema ngoja nikaone hizo raha za Tanga, Safari yangu ilianzia stand ya Msamvu majira...
21 Reactions
70 Replies
1K Views
Civilian-Coin Msanii wa Hip Hop/RnB kutoka African-Tanzania amezindua mavazi ya aina yake yaitwayo "African map wear" au "Home boy gear" ambayo yametokana na wimbo wake uitwao "Home boy" alioutoa...
6 Reactions
27 Replies
337 Views
Mtandao Vodacom una shida huku unasoma emergency shida ni Mimi au?
3 Reactions
25 Replies
213 Views
Baadhi ya Watanzania wanataka viongozi wa Serikali waishi maisha ya kimasikini wakidai Mwl Nyerere aliishi hivyo ingawa si kweli alikuwa masikini Watanzania wanadai kuwa Mwl Nyerere ndiye raisi...
3 Reactions
25 Replies
294 Views
Mapogo ni mojawapo ya hadithi maarufu na za kusisimua zaidi kuwahi kutokea katika ulimwengu wa simba. Walitawala kwa nguvu, ujanja na ushirikiano wa kipekee, lakini mwisho wao ulionyesha kuwa hata...
7 Reactions
18 Replies
258 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…