nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,889
- 14,596
Naam kuna nyakati maishani zinabaki kuwa kumbukumbu nzuri sana.
Tanzania tumejaaliwa kuwa na mchanganyiko wa makabila mengi na tukaishi pasi kujali tofauti zetu kama dini,rang, kabila, khali n,k,
Ilikuwa ni Kihanda Camp chini ya kampuni ya Aarsleff Bam International juu ya ujenzi wa barabara,
NI mwezi wa kumi na mbili Kampuni inasimamisha kazi kutokana na sikukuu za krismasi na mwaka mpya....kwa sisi wa khali ya kawaida ambao wengi vipato vyetu ni vidogo,,,unapiga hesabu ya kutoka Sumbawanga mpaka Moshi...kwenda na kurudi mara gharama za sikukuu n.k......unaona bora utume kitu kidogo nyumbani then uendelee na mapambano.
Naam siku ya krismasi imefika tunajikuta watu kadhaa tumebaki kambini...tunaona sikukuu isipite kinyonge..tunafanya utaratibu wa Muziki vinywaji misosi n.k......sherehe inafana...raia wengi tumetoka Dar,,,kwa Kipindi hicho wimbo wa Abdul Kiba upo hewani ....raia wamelewa ...kila mara wanaomba,,wimbo wa KIZUNGUZUNGU upigwe,,,,maisha yanaendelea.
Mchizi wetu Maiko(driver) alikuwa na kabiashara kake ka kuuza vinywaji Camp,,,bila shaka siku hiyo alipiga hela....
Wengi nimewakumbuka lakini mchizi wetu Juma GOGO alishatangulia mbele za haki...nimemkumbuka dereva nadhifu Boni..wengine ni Mzee wa Mwira,,Kalinga..kuna jamaa alikuwa anaendesha NIssan nimemsahau jina mtu wa Dodoma alikuwa akijiita American...Nimemkumbuka fundi Shekivuli,,,alikuwa still fixer....Pia kulikuwa na Senior Surveyor Edom Bezu kutoka Ethiopia,,,,,,na mpare mmoja alikuwa anaitwa papaa Msofe (engineer)......hiyo ni kwa uchache na wengine wengi,
Kesho yake hatuna hata mia tumechelewa kuamka tunatembea tembea kijijini tunakaribishwa pombe za machicha tunapiga kiroho safi ili tushibe,,,mara manyunyu ya mvua,,,moto unakokwa kibaridi kwa mbali na mahindi ya kuchoma,
KUMBUKUMBU MUJARAB