Wakuu salamu,
Naandika hii mada nikiwa na hasira sana na huu uhuni unaofanywa na Airtel kwenye hizi router zao. Yaani huku ni kuibiana mchana kweupe na ukiwahoji hawana majibu ya kueleweka...
Sintofahamu imeibuka katika Mtaa wa Longdong, Kata ya Sokon One jijini Arusha, siku moja baada ya mazishi ya Gervas Jackson, baada ya ndugu wa marehemu kuanza kuhoji kuhusu mali na fedha...
Ukishamkopea mtu pesa na akachelewesha kulipa , hiyo tayari inatoka kwenye malengo yako na unaona kama umeokota pesa.
Nilimkopea mtu mil 2 , leo kalipa baada ya miezi sita ya kumsumbua sana ...
Mungu siku zote hatabakia kuwa Mungu na nafsi yake ni yakwaza hana mbadala
Yusufu akiwa kwa potifa alikutana na mtihani kati ya kuchagua kumpendezesha mke aa potifa au kumpendezesha Mungu, na...
Bujibuji Simba Nyamaume
Usiku ulikuwa mzito kama blanketi la giza. Mwezi ulijificha nyuma ya mawingu, huku upepo ukipuliza taratibu katika msitu wa Miombo uliokuwa ukihofiwa na kila mtu. Wazee wa...
Mchakato wa kumtangaza kuwa mtakatifu Mtumishi wa Mungu Julius Kambarage Nyerere, rais wa kwanza wa Tanzania aliyefariki mwaka 1999, umezidi kusonga mbele na sasa upo katika hatua ya kuwahoji watu...
Huu Ushuru Sirikali iuangalie Tena Purchasing Power Ya magari is going to be affected aisee.
Imagine Toyota RUSH Nje inauzwa $6500 Kama 16.9M Hivi Pesa ya Tunguu. Halafu Tiarahei naona ushuru...
Kuibuka kwa kundi la wanaharakati na wadai mabadiliko wanaompigia debe Makamu wa Rais Nchimbi kwa kauli moja au mbili alizozisema walizozipenda kunaonyesha jinsi gani Tanzania ina safari ndefu ya...
Wakuu kwema?
Asee jana nilipata wasaa wa kucheka na kulia kwa pamoja. Pamoja na taarifa kusambazwa na kujadiliwa kila.mahala bado kuna watu wanaendelea kutapeliwa na hawa jamaa wa mikopo online...
Nimeshangaa sana kuna shule za mjini mpaka miaka hii wanafunzi bado wanapeleka kuni za kupikia na wanafanyishwa kazi za kufagia mavumbi asubuhi shuleni.
Shule ya msingi niliyosoma ilikuwa na...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Buhosa, Erick Shigongo, ameandika:
Taarifa Maalum.
Ndugu wananchi,
Watanzania wenzangu,
Napenda nichukue nafasi hii kuwataarifu...
Naomba utusaidie kufikisha kero zetu kumekuwa na mbwa wengi wanazagaa bila mpangilio mtaani kwetu, ni Wilaya ya Ubungo, Kimara Temboni, Mtaa wa Mji Mpya.
Juzi Jumamosi wamenijeruhi, nina week...
Nimeona taarifa hii ya Azam TV ikieleza kuwa cement imepanda na kuwa baadhi ya maeneo inauzwa hadi Shilingi 22,000 hadi 23,500kwa mfuko wakati awali ilikuwa inaiuzwa kati ya Shilingi 15,000 hadi...
Kwako Waziri wa uchukuzi Prof. Makame Mbarawa na wahusika wengine. Kwanza, napenda kuwapa pole Kwa kazi ngumu na pongezi Kwa kazi nzuri ambayo wizara ya uchukuzi inafanya hususani ujenzi wa...
2030 kutakuwa ni vita ya kukata na shoka katika nafasi ya urais itakayopelekea wababe kupigana na kuumizana sana na kuchoka mno na kila mmoja kutotamanika wa kutazamika na mwishoni wa vita hiyo...
Dkt. Mashingo Lerise kutoka Marie Stopes Tanzania (MSI) ametoa wito kwa jamii, hususan vijana, kuwa makini na taarifa za afya ya uzazi wanazokutana nazo kwenye mitandao ya kijamii. Amesisitiza...
Kuna matunda ya asili mengine yanapatikana kwenye maeneo fulani tu, unakuta umekua ukiyala na baada ya kuondoka hapo kwenda sehemu nyingine huyaoni tena.
Leo nimekaa nimeyakumbuka matunda ya...