Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mambo yamebadilika wakuu siku hizi hatushindani kufyatua watoto kutokana na gharama za malezi na malengo ya kuwajengea watoto maisha mazuri. Zamani watoto waliachana kwa interval ya miaka...
1 Reactions
2 Replies
76 Views
  • Redirect
4 Reactions
– Replies
– Views
Yaani nauliza ya kwamba, ni sehemu gani ya hatari ulisha kulana na mtu mwenza wako hadi leo hii ukikumbuka unajiona sio wewe? Mimi ni juu ya ceilingboard nikitengeneza umeme dem wa boss...
2 Reactions
13 Replies
220 Views
๐ƒ๐€๐๐†๐Ž๐“๐„ ๐–๐€๐๐“๐’ ๐๐‘๐Ž๐“๐„๐‚๐“๐ˆ๐Ž๐ | ๐Ÿ›ข ๐—”๐—น๐—ถ๐—ธ๐—ผ ๐——๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ผ๐˜๐—ฒ wants to build a mega oil refinery in Lamu. But there's a catch: They want government protection first. Dangote wants govt to block cheap imported fuel...
1 Reactions
3 Replies
100 Views
Kugawa na Kuteka (Divide and conquer) ni silaha yao kubwa na wanaitumia ndani ya kila sekta ndani mwetu kila wanapofanya maamuzi... Tuwe makini SANA SANA muungano wetu waTanzania ambao haujali...
1 Reactions
11 Replies
112 Views
kwenye ndoa watu baadhi hupata utulivu..lakini pia baadhi ya watu hupata changamoto pale tu wanapokutana na watu ambao sio sahii.....
7 Reactions
16 Replies
149 Views
Sheria za NIDA zinamruhusu Civilian-Coin kubadili jina Moja lakini NIDA wamemuwekea vikwazo. Kitambulisho Cha NIDA no. 19800628-33116-00002-22. Jina: Deogratius Nalimi Kisandu Ndicho...
2 Reactions
37 Replies
546 Views
Amani ya Mungu iwe juu yenu wanafamilia wa Jamii Forum. Je, kwa Tanzania kuna uwezekano wa kufanya Affiliate marketing? Kama ndio, Tafadhali mwenye ujuzi anifundishe kama inawezekana from zero...
0 Reactions
1 Replies
366 Views
Bikira Maria mama yake Yesu alikufa?
5 Reactions
20 Replies
238 Views
Mbinguni ni dimension nyingine ambayo imetuzunguka hapa hapa kwenye mazingira yetu au ni eneo fulani kwenye ulimwengu au galaxy yetu. Kama ni dimension nyingine basi hakuna habari ya kupaa, ni...
1 Reactions
5 Replies
79 Views
Dawa hii imekuwa mkombozi sana kwa watu wanaotaka kupunguza uzito. Kwa sababu ya bei ilikuwa inapatikana kwa matajiri tu. Karibuni walisema brands mbalimbali za bei rahisi zitaanza kupatikana...
1 Reactions
1 Replies
119 Views
Habarini wakuu: vp hapo kwenu ni wangapi mnaotumia mtandao wa JF, au ndo wewe peke yako.? Ushawahi kushawishi mtu ajiunge JF?
13 Reactions
121 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linaendelea na uchunguzi wa tukio la moto lililotokea Julai 29, 2026 majira ya saa 7:35 mchana katika nyumba za Polisi Msambweni zilizopo eneo la Mapinduzi โ€œAโ€, Kata...
15 Reactions
54 Replies
965 Views
Binadamu anapoingia kwenye uzinzi anaweza kuanza kubadilisha kabisa namna anavyofikiri na kufanya maamuzi. Tamaa inapopewa nafasi ya kutawala akili, mtu anaweza kuanza kufanya mambo ambayo akiwa...
22 Reactions
78 Replies
712 Views
SGT MWAJABU BEST LADY AGAINST VIOLENCE TANZANIA AKABIDHI TUZO KWA RPC KILIMANJARO Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Simon Maigwa amepokea tuzo...
1 Reactions
0 Replies
104 Views
Matapeli wengi wa kisasa hutumia mbinu ya kisaikolojia inayoitwa "Social Proof" (Kutafuta Uhuishaji wa Kijamii). Kupiga picha na kiongozi mkuu au mtu maarufu na kuipost mtandaoni huwasaidia...
20 Reactions
98 Replies
2K Views
Ndugu zangu kwema? Hivi na nyie mnapata changamoto ya kimtandao hususani kwa watumiaji wa Vodacom kama mimi? Ukituma meseji haziendi, ukijaribu kupiga simu muda mwingine simu inabaki kwenye...
3 Reactions
38 Replies
614 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ