Ndoa ni taasisi inayopigwa vita sana

Ndoa ni taasisi inayopigwa vita sana

cheki hii meseji imetumwa na mama yangu wa kambo anashangilia baada ya ndoa yangu kuvunjika
IMG_20260814_124750.JPG
 
kwenye ndoa watu baadhi hupata utulivu..lakini pia baadhi ya watu hupata changamoto pale tu wanapokutana na watu ambao sio sahii.....
Ndio taasisi ambayo haitakiwi kabisa kuwepo. Ndoa ni mpango wa Mungu, kataa ndoa ni mpango wa shetani, ndio maana hata yule shetani jike aliyetoa amri vijana wetu wauawe tarehe 29.10.2025 ndoa ilishamshindaga
 
kwenye ndoa watu baadhi hupata utulivu..lakini pia baadhi ya watu hupata changamoto pale tu wanapokutana na watu ambao sio sahii.....
Kuna hii Moja imefichwa Kuhusu Kodi, hii Iko deep kdg, ni kwamba Taasisi ya Ndoa ( Mke na Mme ) ukifanikiwa kuitengenesha maana ake Mke atajitegemea ,atajiona ana Haki,atajiona mwenye uwezo hivyo ataanza kusimama mwenyewe, Kwenye kulipa Kodi,( atafanya KAZI,atafanya Biashara atafanya kila kitu kuingiza hela ) kulipa ada za watoto,kujilisha ,kujivesha kifupi wanatolewa kwenye ndoa ili wakubwa wapate Hela yao,wasiwe bahili na tegemezi
 
Mhenga alietunga ule msemo 'Ndoa ndoano' sijui kilimkuta nini.. rest in peace OG
 
Back
Top Bottom