Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetoa ufafanuzi kuhusu uendeshaji, utaratibu wa maegesho, pamoja na utozaji wa faini kwa vyombo vya usafiri wa umma, hasa pikipiki za miguu miwili (bodaboda)...
Ndugu zangu kama ripoti ya UN ni kweli basi bado Tanzania tuna umasikini mkubwa na naweza kukubaliana nao kwa sababu ni familia chache sana Tanzania zinazoweza kupata mboga za majani na matunda...
Naongelea Urban Areas, achana na vijiji. Linapokuja suala la maeneo ya mijini sijaona mji wa kijani kama Moshi.
Moshi kuna miti aisee. Unajua kama kule Mbeya sehemu walikojenga wakoloni kuna miti...
Nchi ipo uchi kwenye suala zima la ulinzi wa wa mipaka na mambo ya ndani, na ikitokea hata nchi ndogo ya Rwonda ikavamia ndani ya Tunzania itajichukulia maeneo kwa urahisi sana.
Wananchi wa...
Mwalimu wa ushenzi ni Uganda ndio anafundisha CCM tokea kipindi cha magufuri.
Mnaweza kuona jambo dogo ila ukweli ni mchungu.
Mambo yanayoendelea ni mabaya zaidi.Maana imefikia watawala...
Malalamiko ya baadhi ya wananchi na taasisi kuhusu mali zao kuchukuliwa na Jeshi la Polisi wakati wa kukamatwa yameibua mjadala kuhusu mipaka ya mamlaka ya polisi katika kushikilia mali...
Haya mashindano ya miss Tanzania kwa sasa ni takataka kabisa , binti ana masikio kama popo au kama ya min hapa anashinda ,eti awe anajua kingereza tu , takataka kabisa.
Mtu ana komwe...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Tulia Trust ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge wa Jimbo la Uyole Dkt. Tulia Ackson amefanya ziara katika kata ya Ilomba ambapo amewatembelea na...
Habari Wana Jf🚀 Njoo Niseme Stori Yangu ya Maisha – Safari ya Kupambana na Changamoto!
Hello wana jf! 🙌 Leo nataka kushare na nyinyi hadithi yangu ya maisha – jinsi nilivyopambana na masomo huku...
Mwisho wa mwezi naenda arusha nipite namanga niende kumsailimia kasongo na nitatumia usafiri wa bas coz haka kangu kanaweza lipukia njiani.
Nahitaji anayejua basi safi nauli ndogo aniambie hadi...
Makala ya kielimu kuhusu uhuru wa kujumuika, nafasi ya mwanachama, mipaka ya mamlaka na umuhimu wa demokrasia ya ndani
UTANGULIZI
Vyama vya Wafanyakazi ni taasisi muhimu katika kulinda haki...
Hivi hivi karibuni, tumeshuhudia operation kubwa ya kiudhibiti wa ubora na usalama wa vinywaji nchini Rwanda lililozua gumzo kubwa Afrika Mashariki. Lakini kinachoshangaza na kusikitisha zaidi ni...
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imebatilisha tangazo lililowataka waendesha bodaboda, bajaji na maguta kulipa ada ya maegesho ya Sh100,000 kwa miezi sita au Sh180,000 kwa mwaka, huku baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.