Msiniulize naenda kufuata nini bandugu?

Msiniulize naenda kufuata nini bandugu?

Mopak

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2024
Posts
2,588
Reaction score
5,587
Mwisho wa mwezi naenda arusha nipite namanga niende kumsailimia kasongo na nitatumia usafiri wa bas coz haka kangu kanaweza lipukia njiani.
Nahitaji anayejua basi safi nauli ndogo aniambie hadi na nauli na pili aniambie kama kuna uwezekano wa kuunganisha safari coz kulala lodge sina nida na kuvuka sina passport. Je nifanyeje?
 
Kuvuka boda bila passport labda uvuke kwa miguu,ukishafika upande wa pili upande gari likupeleke huko uendako. Wakati wa kurudi Bongo pia uvuke mpakani kwa miguu. Huo ni uzoefu wangu ingawa sijawahi kupitia Namanga kwahiyo sijui utaratibu wa hapo,ila kwa Sirari ukivuka kwa mguu au pikipiki huulizwi swali lolote na mtu yoyote.
 
sirari hata mim najua hapana shda ni kuhusu namanga
 
bro niko serious nna mpiga kura tu nida ilipotea kipind hadi leo naambiwa haijatoka so nataman nipitie njia ya mlango wa nyuma hadi kenya
Ukiwa na namba ya nida unapata passport ndogo kama haujui safari harafu viambatanisho vya safari ni chenga utapata matatizo ambayo yatakugharimu zaidi..
2026 sio salama kusafiri bila passport Dunia yenyewe imekaa tenge unaweza kuingia huko yakatokea ya Wasomali ukapewa kesi ya ugaidi kumbe ulikua unafata vitamaa Nairobi..
 
Naomba kuuliza wakuu, mbali na passport nini kingine kinahitajika kuingia kenya, nataka kwenda Mombasa mwezi ujao
 
Mwisho wa mwezi naenda arusha nipite namanga niende kumsailimia kasongo na nitatumia usafiri wa bas coz haka kangu kanaweza lipukia njiani.
Nahitaji anayejua basi safi nauli ndogo aniambie hadi na nauli na pili aniambie kama kuna uwezekano wa kuunganisha safari coz kulala lodge sina nida na kuvuka sina passport. Je nifanyeje?
Usipande basi utadakwa.
 
Ukiwa na namba ya nida unapata passport ndogo kama haujui safari harafu viambatanisho vya safari ni chenga utapata matatizo ambayo yatakugharimu zaidi..
2026 sio salama kusafiri bila passport Dunia yenyewe imekaa tenge unaweza kuingia huko yakatokea ya Wasomali ukapewa kesi ya ugaidi kumbe ulikua unafata vitamaa Nairobi..
ni kwel nafata vitambaa kama vyote lakn sitak kupita sirari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom