Atakua anamaanisha Prime Minister.Huoni PM ilipo kwani unatumia app mpya ya JF?
Dah! Unajua sisi wazee wa mwaka 47 hatujazoea hizi lugha za kihuni...Atakua anamaanisha Prime Minister.
Nimekuelewa kibenten wa Gudila.Dah! Unajua sisi wazee wa mwaka 47 hatujazoea hizi lugha za kihuni...
Sasa nimeelewa. 😂
Hatujazoea kutokumuona muda mrefu hivi?
Yuko huko vijijini kunakotoka kuku wa kienyeji.Anakula supu ya kuku wa kanda ya kati mida hii
Atakuwa yupo Gamboshi anazindikwa, Bashite kampa deal aende kwa wataalamu.Hatujazoea kutokumuona muda mrefu hivi?
Hatujazoea kutokumuona muda mrefu hivi?
kumbe wewe ndiye mchemba? aka madeluNipo kijana acha umbea
Njoo singida
Walozi effectHatujazoea kutokumuona muda mrefu hivi?