didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 2,101
- 3,566
Hata nitoke private sasa nijaribu na serikali. Naombeni tips haswa kwa ambao kozi zetu sio za uhasibu au finance. Sisi ambao ni madktar, engineers etc
Kwahiyo unawachongea,,,Wahandizi + wamanunuzi.Mhasibu anaweza kuona namba zimebalance kwenye karatasi, lakini asijue kama daraja limejengwa kwa saruji au udongo wa mfinyanzi! Serikali inalizwa sana kwenye miradi ya ujenzi na mnunuzi.
Nini maana ya kuwachongea?Kwahiyo unawachongea,,,Wahandizi + wamanunuzi.
Nini maana ya kuwachongea?
Kuwasemea kwa baba au mama ya kwamba hawawezi kusimamia miradi kwahali ya ubora unaotakiwa ,lakini huyu mtoto ambaye ni mhasibu wanamuingiza mkenge.Nini maana ya kuwachongea?
Okay, me nimetoa mchango wangu, haya mengine sihusiki nayo.Kuwasemea kwa baba au mama ya kwamba hawawezi kusimamia miradi kwahali ya ubora unaotakiwa ,lakini huyu mtoto ambaye ni mhasibu wanamuingiza mkenge.