Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Am just saying, Sio ukimaliza kumtukana JF unaenda kuoga maji ya upako ya buku ulionunua hapo kawe ukisubiria kupokea baraka za mungu
0 Reactions
0 Replies
27 Views
Aliyekuwa Mfanyakazi wa Nyumbani Jijini Mwanza, Faima Yasin Twaibu (17), ameachiwa huru na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala ya Mwanza, baada ya shauri la jinai lililokuwa likimkabili kufutwa...
1 Reactions
2 Replies
87 Views
Pombe inamaliza pesa na kuleta umaskini kwa watu wenye akili ya kimaskini🤔 Kama una akili ya kimaskini usiguse kabisa pombe, pombe ni kinywaji cha watakatifu wenye udhubutu na akili mtambuka...
15 Reactions
44 Replies
404 Views
Kupata kazi kwenye meli za kitalii inaweza kuwa fursa nzuri kwa wale wanaopenda kusafiri na kufanya kazi katika mazingira ya kimataifa. Ili kufanikiwa kupata kazi kwenye meli za kitalii, unaweza...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Anonymous
Habari. Mimi ni Mkazi wa Jijini Tanga, kata ya Pongwe. Nimelipa huduma ya kuungiwa Maji tangu tarehe 23 Aprili, 2026 lakini hadi sasa sijaungiwa huduma hii. Kuna watu wamelipa mwezi wa Juni...
0 Reactions
3 Replies
104 Views
Salaam Wakuu, Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Rais ndo...
5 Reactions
139 Replies
10K Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni Tito Onesmo Machibya, maarufu kama “Nabii Tito”, kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo, matusi na uchochezi. Kwa mujibu wa taarifa ya...
11 Reactions
34 Replies
786 Views
Ng'wanakapolo tafsiri yake ni mtoto wa Kapolo. Kapolo ni muhogo usio na uchangu, muhogo mtamu. Miaka ya 1970s hadi 2000 jina hilo lilivuma sana kwenye mji wa Magu uliopo mkoani Mwanza. Hata kama...
37 Reactions
175 Replies
24K Views
As salaam alaykum. Binafsi zitakuja teknolojia zote lakini hii ya Ndege kupaa kwakweli inanifikirisha sana. Imagine hizi Airbus zinaruka hewani na kutua kama vile hamna kitu kwakweli hapana hata...
4 Reactions
28 Replies
458 Views
Mlokole mwenzangu sikiliza! 1. Bibilia inaposema , "usizini", inawataka watu wasizae watoto hovyo hovyo ili waje kuteseka duniani bila matunzo. Bibilia haisemi kazini/kujamiiana ni kitu kibaya...
14 Reactions
113 Replies
910 Views
Na hii ndio ile inaiitwa bila kupepesa macho https://www.facebook.com/reel/4466513103637269
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Najihusisha na Uwakala wa nishati ya gesi ya kupikia, ipo hivi... kumekuwa na changamoto ya mitungi mingi inakuja kwetu Mawakala ikiwa na leakage yaani inavujisha gesi na ukiwarudisha kwa Wakala...
4 Reactions
15 Replies
407 Views
Everybody knows north hakuna boya kwenye angle yoyote ile. Vijana wa kaskazini wako mbele ya muda sana. Siku tz ikipitia kwa kijana yoyote mwenye DNA ya north mabadiliko yataanzia hapo...
4 Reactions
28 Replies
414 Views
  • Featured
Wakuu, nadhani mmeona Taarifa ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia barua ya Agosti 6, 2026, ikizungumzia Maboresho ya Kanuni za Fedha za Kigeni kupitia Tangazo la Serikali (GN) Na. 206 la mwaka...
13 Reactions
29 Replies
1K Views
China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani Iko hivi: Kwa...
5 Reactions
22 Replies
365 Views
https://vt.tiktok.com/ZS43Hah8U/
1 Reactions
30 Replies
389 Views
Ukisikiliza speech ya tajiri namba moja,unaona mtu kilaza sana ambaye unaweza kudhani hakupita hata shule yoyote. Jambo hili linanifanya niamini utajiri ni majaliwa ya Mungu tu,na...
7 Reactions
18 Replies
310 Views
Jana Halila Yusuf Tongolanga (1965-2017) amezikwa kijijini kwao Tandahimba. Hakuna asiyemfahamu huyu mtu kwa kazi zake za kisanii zilizobamba sana sana.. Umaarufu wake ulikuwa mkubwa hadi...
2 Reactions
47 Replies
11K Views
Naona pesa imekua nyepesi sana, kwanza achana na ile kufuru ya katoro, njoo uone hii, unaambiwa hizo ni za kutumia tu wala sio za kufanyia mambo ya msingi. Je video hii ina uhalisia?
4 Reactions
18 Replies
272 Views
Back
Top Bottom