Mungu aliruhusu Shetani kumjaribu Ayubu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Ayubu katika Biblia. Hadithi inaanza na Ayubu, mtu mwema na tajiri, ambaye anamcha Mungu kwa uaminifu.
Shetani...
Hawa wana ccm washawahi kufikiria kwamba wizi wa kura na kuchezea uchaguzi kunaweza kuhatarisha usalama wa nchi?
Nini kinachowapa ccm kujiamini? Je ni back up ya mchina au ya mnani vile...
Kwa mda mrefu Tbs ni kama haipo, na kama ipo haifanyi kazi ipasavyo. kama ipo why vinywaji feki viwe ving mtaani hii ni hatari
Wahusika chukueni hatua
Shirika la viwango linahitaji mtu kama...
Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua...
Nimekuwa nikikutana na maswali mbalimbali kuhusu dini au Mungu mfano
Niliwahi kuulizwa matendo mema yaliumbwa na nani nikajibu Mungu aliumba mema. Nikaulizwa tena mabaya yaliumbwa na nani...
Wakuu heshima yenu.
Maandiko Yako wazi yanatuambia kuwa Shetani au Ibilisi aliasi huko mbinguni na akatupwa Duniani.
Na mara zote tunaambiwa Huko mbinguni hakuna dhambi maana wanaishi viumbe...
Kuna jambo ambalo kwa kweli linanifanya nijiulize kwa nini mtu anaweza kuumia kabisa kusikia hata jina la Rais likitajwa kwenye mchezo wa mpira eti kwa sababu Serikali imepongezwa ?
Hapa...
Mzee Chalamila, kuna uhalifu tulio uruhusu hasa jijini Dae es salam
Kisiasa serikali imeruhusu Bajaji na Boda boda kufanya shughuli za usafirishaji jijini, kitu ambacho si kibaya, hasa kwa...
Ujue siwaelewi.
Nashindwa kuelewa mpaka sasa huyo Mungu anayepata sifa kede kede katika hivyo vitabu vyenu Biblia na Quran mpaka sasa hizo sifa zake ameshindwa kuzionesha kwa wafuasi wake...
NITATUMIA HADITHI YA MUSA NA DAUDI KAMA REFERENCE.
Ushawahi kujiuliza kwanini Musa akaua akatoroka, lakini akawa shujaa?
Kwanini daudi akazini, akaua, lakini akawa "mtu wa moyo wa mungu"?
Au...
Wilaya ya Ilemela inakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji kwa takribani wiki mbili sasa. Maeneo yaliyoathirika ni pamoja na Buswelu, Meko, National, Nyasaka, Nyamadoke, Bujingwa na Buzuruga...
Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini? Kama hakuleta dini ulimjuaje kama yupo?
Surat Al-Baqara (2:132)
"Na Ibrahim aliusia hayo kwa wanawe, na (vivyo hivyo) Yaqub (akisema): Enyi wana wangu...
Ngazi ya kata, je diwani au mtendaji,ngazi ya wilaya je mbunge au mkulugenzi,mkuu wa wilaya?
Ngazi ya kitaifa, je ni mawaziri au makatibu wakuu wao na rais (isijekua tunawaonea watu au kuwapa...
Mods, nilishawahi kuweka hapa threads mbili zinazohusiana na mambo ya dini ila sijui huwa mnazifuta au mnazihamishia kwingine maana baada ya muda kidogo nikipost huwa sizioni. Ikiwa mada hizi...
Huu ndio ukweli, haya mengine ni umbea tu wa binadamu
Kama kweli Mungu yupo basi hataki tumjue, wala hataki tumuabudu na hataki tufuate sheria zake.
Angekuwa anataka tumjue angejionesha au...
Kuna jambo la kuvutia sana katika Mwanzo 1:2 “Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu; na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji.” Aya hii inaweza kutufanya tujiulize swali ambalo mara nyingi...
Wapo wanaoamini kuwa Mungu yupo – Muumba wa kila kitu, mwenye uwezo wa kubadilisha chochote.
Lakini wapo pia wanaoamini hakuna Mungu, na maisha haya ni matokeo ya mabadiliko ya asili, bahati, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.