boss kwa laki 9 na nusu Hadi Milion 1 na laki mbili..
unajipatia showcase za kisasa kabisa π₯ π₯..
hizi bei unazipata kwa fundi mkuu tu..
boss wangu ukihitaji kujua gharama niambie ukuta wako...
Habari za wakati huu wadau wa JF,
Huku Kivule tangu jana usiku saa 4, Tanesco wametukatia umeme mpaka saa 7. Sasa cha ajabu zaidi ni kwamba tangu muda huo wanakata umeme na kurudisha; haipiti...
Nina tatizo hapa,shemeji yangu kawapigia TANDAO FULANI kwa simu ya kwangu ambayo yamezani na kuwalaghai password na huo mtandao waka reset password na kaweka mpya kisha kaamisha fedha zote.
Mimi...
Mtoto yeyote yule wa mjini hakai kindezi , lazima awe mtu wa kuchungulia huku na huku kuangalia michongo yake .
Pia huwezi jua siku wala saa siku utakayoingia wavuni mfano kupata kesi kubwa na...
Huyu anatesa sana Watanzania imagine.
Leo nimepita sehemu mada ni kwamba jamaa kiwandani kwake hapa Dar es Salaam analipa 4000 yaani elfu nne
Hivi wadau hii ni kazi au mateso na unakuta mtu...
Ebana iko hivi hizi gari zinazouzwa bongo na kilomita 56,000 ni unapigwa. Ukitafuta Japan au UK nyingi utapata zina 150,000, 230,000 hadi 300,000 kilomita. So hizi za bongo kama huwezi ku verify...
Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !!
Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi.
Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza.
Mtihani ukikaribia ndio...
Habari WanaJF,
Tunatambulisha NEXTGAMIS ABS --- mfumo wa kusimamia, kuendesha, kutunza kumbukumbu, na kufuatilia ukuaji wa biashara ya uwakala wa fedha kupitia mitandao ya simu na benki...
Kijana murij mkazi wa mbeya ametambulika kua aliwahi kua mwanafunzi wa shule ya iyoto mbeya, na amesoma na baadhi ya watu maarufu akiwrmo aunty lulu.
Murij alikua akiishi na mpenzi wake Binti kwa...
Ona Jinsi wanyama au ndege wa usiku (kama bundi, paka weusi, au popo) wanavyotumiwa kiimani kama "wajumbe" au "mashuhuda" wa mikataba ya kishirikina inayowekwa kwenye viwanja vya watu.
Thats why...
Nimewaza kuhusu members wenye shida jf , ni mekuja na huu uzi kwa wale members wenye kuhitaji connection ya kutoka kimaisha π€
Jf tumekua na changamoto mbalimbali , binafsi nimevuviwa...
Kwa maslahi mapana ya uanaume ,dini bora ni uislamu, na mafunzo yake.
Kwa kuokoa kizazi hiki uislamu unapaswa uwe kwa kila jamii na sheria zake kamilifu.
Dunia ya sasa hii ndio dini dume...
Wanawake wa kichaga ni matatizo matupu. Kwao kila mtu ni buzi wa kuchunwa na kuwapelekea ndugu zao wavivu wa kutafuta. Matokeo yake watu wanaishia gerezani kwa mauaji. Dawa ni kutowaoa kabisa...
Wakuja town wanatafuta kazi badala ya kutafuta PESA.
Hawajui kupata kazi ni kazi sana kuliko kupata pesa.
Wengi hapa mjini wana pesa ndefu lakini hawana kazi/ajira
SHTUKA.
Miaka imesonga sasa badilisheni baadhi ya mambo muendane na ulimwengu wa kidigitali mambo kama;
1. Mwenge wa uhuru na kuwatoa wanafunzi mashuleni na kuwapanga msululu yamepitwa na wakati
2...
Wakuu, kuna jambo nimekuwa nikilitafakari sana.
Katika maisha haya tunahangaika kutafuta pesa, heshima, mali, nafasi na kutambulika. Tunajenga nyumba, tunanunua magari, tunatafuta followers na...
Kama kuna mtu kamaliza secondary 2022 naomba tujuane tafadhali
Mimi naitwa YAHAYA FADHILI HUSSEIN. kama kuna mtu yoyote kamalliza secondary huo mwaka apo..
Hapa naongea na GENERATION Z ...πππππ
1. Usisafishe mikono yako kwa asali na chumvi dakika chache kabla ya mtoko wa kimapenzi (date),
Chumvi huondoa uzito wa siku nzima kwenye ngozi yako, na asali huacha utamu ambao watu wataugundua...