Classmates. 2022 secondary

Classmates. 2022 secondary

Machingafx

Member
Joined
Sep 25, 2026
Posts
91
Reaction score
110
Kama kuna mtu kamaliza secondary 2022 naomba tujuane tafadhali
Mimi naitwa YAHAYA FADHILI HUSSEIN. kama kuna mtu yoyote kamalliza secondary huo mwaka apo..
Hapa naongea na GENERATION Z ...🙏🙏🙏😁😁
 
Dah!

IMG-20260921-WA0279.jpg
 
Badirisha hapo jina la Machingafx weka jina lako halisi, utawapata jamaa zako kirahisi zaidi
 
Duh! Jf imevamiwa na wajukuu.
Enzi hizo kwenye ujana wetu redio free Africa (R.FA) Kulikuwa Kuna kipindi cha kutafuta ndugu jamaa na marafiki mliopotezana nao kwasababu ya teknolojia bado ilikuwa chini
Hadi na zama hizi za AI bado unatafuta mliosoma nao secondary?

Hiyo elimu Yako ya secondary haijakusaidia au una ushamba flani hivi wa USHAGO.
Umekuja mjini unataka uwape taarifa
 
We mtoto bado una ujinga mwingi, hapa si kama facebook mnakoandika maujinga yenu, ushaambiwa hapa ni great thinkers where we dare
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom